Maadui watatu wa taifa ni umasikini, ujinga na maradhi; mpaka sasa tumemtokomeza yupi?

mchanga mchanga

Senior Member
Jun 13, 2017
115
82
Maadui wakuu watatu wakati tunapata uhuru ni umasikini, ujinga na maradhi. Naomba wadau mnijuze ni yupi kati ya maadui wetu hawapo tena leo.
 
Tundu Lisu!
Tundu Lisu!
Sasa hivi maadui wakubwa ni CHADEMA, Mbowe, Lissu na Maalim Seif
maadui wa taifa ni Tundu Lisu, Chadema Na rushwa
Umasikini bado upo... Ujinga bado upo... Maradhi bado yapo...


Cc: mahondaw

Kwa muktadha huu nadhani adui Ujinga sasa amekua sana hadi kufikia area commissioner na kumzaa mwanaye anayeitwa chuki
 
Maadui wakuu watatu wakati tunapata uhuru ni umasikini, ujinga na maradhi. Naomba wadau mnijuze ni yupi kati ya maadui wetu hawapo tena leo.
Umasikini, ujinga na maradhi hayatokomezwi kwani ndio mtaji wa wanasiasa.
 
Hao maadui wanazidi kunenepa!!! Awamu ya 5 imeongeza masikini milioni 2,magonjwa ndio usiseme kisukari na ngoma ilikuwa kwa matajiri ila kwasasa ni noma hadi sie wala vumbi tunayapata,ujinga ndio usiseme na wajinga ndio mtaji wa maccm.
 
Vyote bado vipo kwa kiwango kikubwa sana.. Umaskini ndo usiseme!!
 
Adui CUF Ametokomexwa Zanzibar. Ameibuka mwingine ACT WAZALENDO lkn ujinga yuko pale pale
 
Back
Top Bottom