Recent content by McDonath

  1. McDonath

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Movie Library na Play Station (PS) bado zina soko kwa sasa?

    Sasa kudownload season 1 tu unatumia maGB mangapi wakati nkkienda Libraly napata kwa 1500 per season
  2. McDonath

    JamiiForums Tanzania Nafsi za binadamu huletwa duniani kwa mtindo wa batch namba na huliwa kwa mtindo huohuo wa batch namba

    Aliyeleta mada kala kona majibu hana😂😂😂
  3. McDonath

    JamiiForums Tanzania Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Nina experience ya kuishi maeneo hayo hadi Dakawa na Mkindo kwa kina Amos Makalla huko ni hakufai upepo kidogo tu umeme umeenda alafu unakaa dakika 5 unarudi tena kukatika mara 10 ni kawaida ndugu😂😂
  4. McDonath

    JamiiForums Tanzania Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Mtu yupo kigamboni au Mbagala alafu mtoto wa miaka minne anampeleka shule Upanga haiingii akilini kabisa yaani kuungisha majirani zako wenye day care unaona wanafaidi utasema kwa umri huo kuna vitu vya msingi sana mtoto anavyofundishwa huko shuleni
  5. McDonath

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio muvi zangu bora za muda wote tangu nizaliwe

    Kwa latest movies hizi ni za moto sana
  6. McDonath

    JamiiForums Tanzania Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

    Kuna kiumbe kinaitwa Lana Rhoades apewe Ballon d'or
  7. McDonath

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama gani huyu?

    Huyo Honey Badger nilikua namchukulia poa kumbe nuksi hivj
  8. McDonath

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

    Huyu Idris alifanya kosa la kwanza la utani kwa Mh Rais akahenyeshwa Central halafu hata miezi 6 haijapita anamtania tena Mh Rais Huyu alifanya kosa huku akijua ni kosa, unaanzaje kumuonea huruma muache apambanie kombe mwenyewe Ukisema anafosi kipaji unaonekana humpendi yaani kakosa content...
  9. McDonath

    JamiiForums Tanzania Njia moja wapo ya kumfanya mtu kuwa msukule

    Duh ndugu tunakusubili endelea mkuu
  10. McDonath

    JamiiForums Tanzania Filamu hii na dunia tuliyomo

    Ngoja niitafute mkuu Naomba uwe unanitag pia ni mpenzi mkubwa sana wa 🎬
  11. McDonath

    JamiiForums Tanzania Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

    Huyu Devota Minja sio yule mwanasiasa ni ripota ITV kama sikosei Correct me if am wrong
  12. McDonath

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna ambavyo Mungu amekuwa akijibu maombi yangu

    Ushuhuda mzuri sana lakini kila mtu anaomba kwa Mungu labda ungejaribu kueleza maombi yako unayafanya kwa namna gani ili wale waombao lakini hawafanikiwi wajue wanakosea wapi??
  13. McDonath

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

    Salute bro kwa madini nimekuelewa sana na mifano yako ipo na inaishi kwenye jamii zetu
Back
Top Bottom