kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,399
- 17,109
Honey bedger anakimbia kama hataki
Anakula chochote anachokutana nacho
Anakula nyoka wote
Nyuki wakimuona wanamkimbia
Anachukua asali Kama kaitengeneza yeye
Akikutana na Kobe anakula mpaka Gamba lake
Ni mnyama anayeongoza kwa kutokua muoga porini
Hawezi kuuawa na mnyama yoyote
Huyo ndio Honey bedger mwenyewe a.k.a nyegere.
Sent using Jamii Forums mobile app


ngoja nimsome mkuuSent using Jamii Forums mobile app