Recent content by Mc cane

  1. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Zilliacus anapendekeza kila shabiki atoe USD 3, na wote tukifanya hivyo mashabiki tutamiliki klabu kwa 50% Hakafafanua baada ya kununua klabu nani atabeba jukumu la kulipa deni la klabu, kutoa fedha za usajili na kuendeleza miundombinu ikiwemo kiwanja cha OT
  2. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    The doomed day 5th March, 2023, forward we move Glory glory Man Utd Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
  3. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nchi ambazo madirisha ya usajili yapo wazi na klabu kutoka nchi tajwa zimeulizia huduma ya Greenwood
  4. Mc cane

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Itabidi atu refund hela zetu sisi tulio book hotel [emoji1]
  5. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sheikh katika uzi
  6. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni kweli Sir Jimy alitaka kuinunua Chelsea, ila ni shabiki wa United ... mengine ni siasa za kuchafuana katika vita ya kutafuta umiliki wa United Ukweli ni kwamba Quatar anakubalika zaidi na mashabiki kwa sasa, sababu wengi wanaamini Sir Jimy ni Glazers mwingereza (hana hela ya kutosha &...
  7. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji1]
  8. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sir Jimmy ni shabiki wa United, na mwenye pesa zake ... zaidi ya Glazers, ila kwa mahitaji ya United pesa yake ni ndogo Pia huyu Sir Ratcliffe anamiliki timu ya Nice ya Ufaransa, na hajaifanyia makubwa kiviiiile Quatar wana pesa na wapo tayari kumwaga pesa. Hawa matajiri wana ukwasi kuliko...
  9. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Habari kubwa hii. Quatar wapo serious kuinunua United.
  10. Mc cane

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Ukimuhesahimu mwanaume, utaolewa Heshima
  11. Mc cane

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tangu Arsenane mtumie nguvu nyingi mlipocheza na United ... You have never recovered Kilichofuata, mkakung'utwa na City, kisha Everton na mkaambulia droo kwa Brentford Next stop, City, Aston Villa Nimekaa paleeeee
  12. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwenye link ya game ya leo tafadhali atuwekee
  13. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakili Msomi atakuwa amecheza na Law of Evidence tu, shughuli ikaisha mapema
  14. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbona huyu mwamba alisajiliwa kwenye second coming pamoja na mashtaka ya ubakaji Maisha lazima yaendelee
  15. Mc cane

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkataba wake uliopo sasa ni mpaka 2025. Na klabu ina option ya kuongeza mwaka mmoja Tukijifanya ni wazee wa maadili tunapoteza £100 milioni kirahisi sana By the way, mfumo wa sheria umeamua wasiendelee na kesi, sisi ni nani tupinge [emoji1]
Back
Top Bottom