kwanini tusibakie single as a country yaani hakuna raisi wala mawaziri kila mtu aishi maisha yake then 2015 tufikierie kama tuendelee kuwa single au tutafute rais
...nimetumbukia kwa mtandao wa ZOOM Tanzania kwenye job tanzania nikakutana na haya, sina uhakika kama ni sawa yalipowekwa au yalitakikwa kuweka kwenye database yao
*************************************************************************
Browse the jobs in Tanzania below, or use the filter...
SWALI Zuri sana hili hao mafisadi kina nani? haina maana kuficha majina tuendelee kujadili the so called mafisadi wakati hatuwajui do they actually exist#im just asking
mbona list fupi sana mi ninayo kama 125 hivi ya kufanya...sio kumaliza yote siku moja weka kwa mafungu hata kama alivoweka mwandishi kila siku fungu moja easy
hivi hawa jamaa kweli kama waliiba pesa kwanini hawakufunguliwa mashtaka kufungwa na hadi kufilisiwa kujiuzulu ili ale chenji ilobakia sio....this is what i call 100% BULLSHIT...
zaidi naweza sema gud move for Rostam serikali haikuwezi....SIMPLE
Demonstration against powercuts scheduled on monday 27/06/2011, 8am from Tanesco HQ (mikocheni near shoppers plaza) to President's office. Take part if you are concerned. Spread the word.
sio siri simfagilii kabisa Lowassa lakini naona kama mtazamo wangu wabadilika kweli Lowassa aliogopeka mzigo alipiga fresh na hela aliiba sasa sijui tuangalie lipi...kumpa chance tena mmmm sijui mie ila huyu pinda angepiga mzigo nusu ya Lowassa basi tungekua mbali
Kustaafu ni hadi ufike miaka 60-65 sijui ni ipi moja wapo....au kwa ajili ya matatizo ya afya,
kujiuzulu ni ku QUIT kushindwa kuendelea kwa sababu alikua na kashfa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.