Recent content by mbwago2007

  1. M

    Kamanda Kamuhanda: Siwezi kujiuzulu

    Kosa halihalishi kosa. Suluhisho la kosa la kuto kutii sheria kwa hiari si kuua. Na kama hicho kitendo cha kuua ni halali kwa nini huyu askari wa cheo cha chini kafikishwa mahakamani?
  2. M

    Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Mimi ninachojua ni kwamba serikali imefungua kesi mahakamani, kesi hiyo bado haijasikilizwa. Sasa kuwafukuza kazi madaktari kabla ya kesi kusikilizwa huko si kuinglia mahakama? Wataalam wa sheria nisaidieni
  3. M

    Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Mimi ninachojua ni kwamba serikali imefungua kesi mahakamani, kesi hiyo bado haijasikilizwa. Sasa kuwafukuza kazi madaktari kabla ya kesi kusikilizwa huko si kuinglia mahakama? Wataalam wa sheria nisaidieni
  4. M

    Je, Polisi wa Tanzania Wananyanyasa Raia?

    Kauli ya wiki hii ya ASP Mungulu aliyotoa wakati akimtaka Mhe. Nassari (Mb) ajisalimishe mwenyewe polisi inaashiria nini? Nanukuu "Kama Nassari hatajisalimisha mwenyewe sisi tutamzalilisha" (ASP Mungulu)
  5. M

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

    Polisi pia wamedhihirisha kuwa wanawanwanyanyasa wapinzani. Kauli ya Bw. Mngulu ni ushahiddi tosha. Mungulu alisema bila ya kutafuna maneno kuwa kama MHE. NASSARI hatajisalimisha mwenyewe jeshi lake litamzalilisha. Je kauli hii ina maana gani!!!!!!!!!!!!!!!
  6. M

    Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

    Hivi Mzee wa Kusinzia (Wassira) naye ni Mmasai?
  7. M

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    Je uchafu wa Dr. Slaa ndio unaohalalisha ujambazi, uporaji na wizi ya mali ya umma unaofanywa na Wassira na wenzake wa CCM? Kwa maoni yangu hii si justification ya vandalism ya CCM. CCM na serikali yake ndiyo yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa nchi na mali za watu, sasa kama wenyewe...
  8. M

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Yah I can testfy 1 Tanzania isthe world’s third largest recipient of bilateral and multilateral assistance.Only Iraq and Afghanistanare receiving more aid 2 At least 38% of children under five in Tanzaniaare chronically malnourished 3 More than 50% of children suffer stunted growth in over30%...
  9. M

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Naomba nisaidie kitu kimoja. Hao wasaidizi wake wabovu wanawekwa hapo walipo na nani???????????????
  10. M

    Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

    Hebu soma ukweli huu hapa chini kabla ya kuendela na haya madai yako Tanzania’s persistent economic poverty belies its potential wealth. The country[1] has long dwelled in peace, generally avoiding the cross-border conflict and domestic unrest that has undercut several of its neighbors. Its...
  11. M

    Transparency International: Tanzania inafanya vizuri Kupambana na Rushwa na Ufisadi

    Hatujawahi kuwa na serikali nyingine tangu Tanganyika ipate uhuru zaidi ya serikali ya ccm, serikali hii ndiyo iliyoua uchumi na ndiyo iliyotufikisha nafasi ya 116 mwaka jana katika rushwa. Na usisahau kuwa sasa hivi tumeipiku Kenya kwa rushwa ambayo ilikuwa ikiongoza kwa muda mrefu katika enei...
  12. M

    Transparency International: Tanzania inafanya vizuri Kupambana na Rushwa na Ufisadi

    ni kawaida taasisi nyingi za kimataifa kiisifia Tz kuwa inafanya vizuri katika mambo mbalimbali ikiwemo elimu uchumi nk, wakati watanganyika tunaona kila kitu kinarudi nyuma licha ya kuwa nafasi ya tatu ya omba omba wa kimataifa. Nchi ambayo inakopa fedha kutoka kwenye mabenk ya kibiashara kwa...
  13. M

    DSTV Sharing

    Inawezekana. Kuna kifaa ( jina limenitoka) kinatumiwa na wale wanafanya biashara ya cable TV au kwenye mahoteli
  14. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Ndio maana hata rais ambaye ndioye mwenyekiti wa ccm hajui kwa nini nchi ni masikini, wala hana uwezo wa kuifanya mvua inyeshe. Katika mweleko huo dhana ya urais wa kifalme utaeleweka kweli na hao magamba na ukizingatia wanafikiria kwa masaburi
  15. M

    Huyu Dk Bana katumwa na nani?

    Huyu jamaa ni gamba bab kubwa. Si unajua tena hao ndugu zetu akina nshomile waliokuwa wametukuka kwa kitabu siku hizi wamefulia baada ya kujipambanua na CCM, Mkoa wa Kagera ulikuwa unapiga hatua kubwa ya maendekeo na hakutaka kuburuzwa na ccm mfano mzuri kuna mchumi mmoja (Prof. Rweyemamu) enzi...
Back
Top Bottom