Recent content by MBUTO KANYO

  1. MBUTO KANYO

    Rais wa Burundi alishaukana Uraia wake wa kitanzania, waliopewa pale Tabora Mishamo?

    Afrika sisi wote ni ndugu hii Mipaka ya mkoloni ndio inatutenganisha
  2. MBUTO KANYO

    Historia fupi ya ukweli ya St Luke

    Luka alikuwa Mgiriki au Myunani na alizaliwa Antiokia. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MBUTO KANYO

    Kwanini Dini zote zimetokea au kuanzia Asia?

    UISLAMU uliletwa na Mtume Karne ya 7mwaka 622 BK uko kabla ya kuumbwa kwa mwanadamu inakuwaje sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MBUTO KANYO

    Kwanini Dini zote zimetokea au kuanzia Asia?

    Yesu hawajui wa Roma na Pilato alikuwa Nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MBUTO KANYO

    Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

    Sasa huyu alimua Karume alifungwa au alikwenda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MBUTO KANYO

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Lakini katika kitabu Cha ufunuo pale Yohana anaposema Usipunguze wala kuongeza ni kwa kile kitabu cha ufunuo tu sio Biblia yote maana kitabu cha ufunuo kiliandikwa chini ya uangalizi wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MBUTO KANYO

    Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

    Kwaiyo Hitler ni myahudi maana bibi yake alivyobakwa akazaliwa baba yake na Hitler Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MBUTO KANYO

    Sijawahi kusikia mtu akiongea lugha ya kizaramo

    Lugha yao ipo lakini inataka kufanana Na kiswahili na kwa Sasa hawazungumzi sana kutokana na makabila mengi kuingia hapa Dar.
  9. MBUTO KANYO

    wanaume tuwe makini na hawa wadada wanaojifanya wameokoka na kumjua Yesu, mara nyingi ni wahuni kupindukia

    Sasa unatakiwa makini katika mausiano yoyote sio lazima kwa walokole tu
  10. MBUTO KANYO

    Nitaendelea kuwaheshimu waliosoma chuo kikuu kuanzia huko Nyuma mpaka walau 2010, siku hizi kitu ni full ku claim kuwa na Universal knowledge

    Mm umenifurahisha sana uliposema Thomas Sankara maana watu wengi hawamfahamu hata kidogo ,kwa sababu yuko kwenye Profile picha yangu.
  11. MBUTO KANYO

    Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

    Uko vizuri sana umesema ukweli Bob Marley anasema No women no Cry
  12. MBUTO KANYO

    SAIKOLOJIA: Pata kufahamu makundi manne ya Tabia za Binadamu

    Haya makundi mengine yataendelea?
Back
Top Bottom