Historia fupi ya ukweli ya St Luke

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
463
St Luke, ambae pia ni Lucius of Cyrene, (alie ambatana mara kwa mara na Mtume Paulo, kwenye safari mbali mbali za ki injili), ambae pia ni mwandishi wa kitabu cha injili ya Luka na kitabu cha Matendo ya Mitume, alikua ni mwafrika mweusi kutoka huko Cyrene (leo hii ni Libya).

Alikua ni evangelist.

Aliyajua vizuri sana maandiko matakatifu ya Agano la kale pamoja na injili ya Yesu (Bwana Yahushua).

Ali ambatana mara kwa mara na St Paul, kwenye safari za St Paul za ki injili.

Alikuwa anajua sana kigiriki.

Huenda alikuwa anajua Kiebrania.

Alikuwa ni daktari wa binadamu (tabibu).

Alikua raia wa himaya ya Rumi.

Kabla ya kuwa mkristo alikuwa ni a gentile convert to Judaism.

Alikuwa mkristo kabla ya martyrdom ya mtakatifu Stephano (Acts 7:59).

Alikuwa kiongozi wa kanisa kule Antioch, ambapo kwa mara ya kwanza wafuasi wa Yesu wali itwa wakristo (Acts 11:26 and Acts 13:1).

Alikua akisali siku ya saba (Sabato/Jumamosi) kama wakristo wengine wote wa kipindi kile cha kanisa takatifu la mwanzo la mitume.

Wenyeji wa kale wa Cyrene (ambao ni jamii ya St Luke) ni uzao wa Phut mwana wa Ham mwana wa Noah.

Around 1/3 – 1/2 ya wabantu wa leo (including sehemu kubwa ya wachagga) ni uzao wa huyu Phut.
 
Ndio, ni kweli. Ameandika pia kitabu cha Matendo ya Mitume.
 
majina ya kizungu kibao kwani hamna ya kiswahili yake, kwa mara ya kwanza waliitwa wakristo je kabla ya hapo wakiitwaje
 
Asili ya Cyrene, unamaanisha hakuwa RAIA wa Cyrene kama Zidane kuwa na asili ya Algeria lkn ni raia wa France?

Eneo lote la Mediterranean wakati ule lilikuwa chini ya Roman empire. St Luke asili yake ilikuwa Cyrene. Cyrene ilikuwa ndani ya Roman empire. St Luke alikuwa mwafrika mweusi kutoka Cyrene.

Wakati ule waafrika weusi walikuwa wana ishi North Africa. Kule North Africa waafrica weusi ndio wazawa, baadae walifukuzwa na waarabu.

Haya maswala ya kufukuzana unaweza ukayaona pia kule North America. Ambako Native Americans ndio wazawa, lakini walikuja kufukuzwa na wazungu. Au kule Australia ambako Aborigines ndio wazawa lakini walikuja kufukuzwa na waingereza.
 
Back
Top Bottom