wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,094
- 2,831
Hivi mtoa mada account yako ya bank ina kiasi gani, una mradi wepi na wepi na vipi umeandaa mazingira ya mwanao kuishi vizuri kiuchumi.
Una hisa kiasi gani na kwenye kampuni gani.
Je unaweza kunipa uhisiano wa mfanyakazi wa kawaida mfano Doctor na mwaka wa kuzaliwa mwinyikazi.
Je unajiona umeelimika kwa kujua utumwa ulikomeshwa lini, endapo katika jamii yako kutakiwa na shida ya maji kukomeshwa kwa utumwa kutasaidia nini.
NB: wewe ni mmoja kati ya wale wazee wanaozeeka na ujinga wao, ni wazee muliosoma Formal education kwa madhumuni ya kukuelimisha bila kujua ndani yake hakuna contents zitakazo kuelimisha wewe bali kuandaa proffessional na ajira tu, elimu pekee ya kukuelimisha ni Informal esucatio hii ni elimu isiyo na mipaka.
Mzee usiena mawazo eti UN imeanzishwa lini mwenyewe unakuja kutamba kabisa katika kizazi cha malengo makubwa ya kufanikiwa maishani.
Iyo UN yako unayokariri jana tu imekamatwa inaiba madini.
Kuwa na mawazo unatia aibu hadi vijana wanakushinda mawazo, acha utumwa wa kielimu futa madude yasio na maana ingiza vitu vya maana jua Assert inafaida gani, Tofauti ya Bussines na Investment, Stock market ndio nini, Real Estate nini nini.
Je hakuna fursa kwenye Real Estate vijana kuichangamkia, je tukiunganisha taaluma ya IT na Real Estate hatuwezi kuwa na platform inayodili na Real Estate tukapata chochote.
Hayo ndio mawazo ya karne ya 21, Elon Musk anafikilia kwenda mwezini kama anaenda Moro, Free internet dunia nzima, fastest transport Dar to Dom kwa dakika, wakina Mark kila siku wanaongeza server za information huko wewe umekalia kujua Mwinyi tupatupa alozikwa wapi.
Watu wanachakata ubongo kupata mtaji watusue maisha wewe unaleta habari za kingazija nyauba mkubwa.
Badilika mzee.