Recent content by MBUTA2001

  1. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Ndugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.
  2. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Nina kg 80 Niko mkoani, njoo PM tuongee biashara
  3. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Nina kg 80 Niko mkoani
  4. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Mimi mhanga wa wanawake wa design hiyo
  5. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Huko kwenu wapi ndugu tuje tuwachumbie
  6. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukutubi (librarian),data entry,record management,customer care, receptionist and personal assistant.

    Unaweza kusimamia mgahawa? Unaweza kwenda mkoani?
  7. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

    Ahsante sana kwa taarifa muhimu
  8. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Lotion kwa Wanaume

    Lotion inawasha hii sijapata kuona. Ukijichanganya tu ikagusa jicho basi
  9. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Ahsante sana,Uzi umeumaliza kabisa
  10. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

    Nyuki usafiri 2km kufuata polen
  11. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Amenidhalilisha vibaya nalazimika kumuacha

    Ndio ukubwa huo kiongozi. Wewe huyo tu mmoja unachukia mapenzi? Mimi nikimpata tit for tat mchumba wangu ambaye nimempangishia chumba,nikamkanata na mwanaume ndani saa 5 usiku hiyo Ni 2007 na akanizuga kwamba ni jamaa wa rafiki yake. Sikutoa vurugu na jamaa alimpa mimba wakatoa na mwishowe...
  12. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

    Ahsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamka
  13. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Nina marafiki zangu wanaofanya biashara ya tanzanite. Walinishauri niingie huko kwa 5M. Je, dhahabu inalipa kuliko tanzanite? Hasa kwa anaeanza
  14. MBUTA2001

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza korosho

    Mjasiriamali weka Namba ya simu au mpaka tufuatane pm
Back
Top Bottom