Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Fohadi hakuna buree kilichopo ni utofauti wa garama... dar kila matumizi ya hela yapo juu sana kutofautisha na mkoani
usafiri: dar mtu anaweza kupanda daladala 2 kwenda sehemu ya kazi ambapo anaweza tumia mpka 3000 kila siku, mkoani akuna habari za kuunga route au usafiri watabu so unaeza tumia ata nudu ya iyo 3000 kwa siku
makazi; dar kupangisha ka chumba kamoja kibachela kwa mwezi ni 60 hadi 80 kama kisela sana utapata vyumba vya 40, lakini mkoani utapanga hata kwa 30 au 25 hapo unasevu unaona ukiwa mkoani unasevu nusu pesa ya dar
chakula; hapa ndo raha ya mkoa, ulaji wa mema ya nchi inategemea upo mkoa gani, kama mbeya utajaza viazi ndani vya kula ata wiki 2 kwa shil elfu 5 ambazo kwa dar ungeimaliza kwa siku moja

ukiishi dar kama una mishe za kuunga unga utaishia kuwa msaka tonge tu, lakin ufanyi maendeleo hata siku 1, dar kama unakipato kidogo alafu hauna heshima na pesa hela itakua auioni, yani unapata unaitumia unapata uinaitumia. excuses za kutumia hela nyingi

mkoani ukisema mwaka hauishi nataka niwe na 20 millions. unaweza kufanya ivyo

Kuhusu vyakula jitahidi uhudhurie masokoni maisha ni simple tu
 
Nimeishi mikoani pia nimeishia Dar,kwa kazi ile ile mshahara ule ile nitatoa uzoefu wangu kwenye aspect zifuatazo.
1.Social
A.Ukabila,udini
Dar ni sehemu ambayo haina ubaguzi,ni sehemu unayoweza pata rafiki mpenzi wa kabila,dini,rika na kazi yeyote ile mwenye tabia na shepu unayoitaka.
mikoani unaweza kosa mtu unayemuhitaji,kuna sehemu ukienda hakuna waislamu,zingine hakuna wakristo,zingine hakuna Madaktari,Mainginia wala wanasheria,........yaani unaweza ishi sehemu 80 % ni watu wa kabila moja tu,wanaongea kilugha chao ....Dar huu upuuzi hamna
2.Kibiashara.
Dar kila biashara inafanyika usiku na mchana hakuna kukesha,wateja wakija hawana muda wa kuulizia dini kabila wala umetoka wapi,wanahitaji bidhaa.
Mikoani ni vituko kuna sehemu ukienda kama wewe sio wa kabila lao,hupati wateja hata kama unauza bidhaa bei chini na bora sawa na wao,halafu biashara hazifanyiki muda wote .....hapa kuna sehemu nimefika mjini kabisa eti nimekosa nyama mabucha yamefungwa,sasa si uhanithi huu.
Hizi biashara za kudeal na watu mikoani ndio kabisa,yaani daktari uende mkoa flani hujui kilugha chao,wakati kuna kijana kutoka kwao,watu wapo tayari wafe lakini huwagusi.
Tatizo jingine mikoani hamna kila kitu,mfano kanda ya ziwa ni ngumu sana kupata pweza,ngisi na products za baharini wakati Dar kila kitu cha mkoani utakipa kwa bei yeyote ile unayoitaka ......yaani hata sato fresh Dar
watu wanakula tu hawana habari.
3.Usafiri.
Hii sehemu nilipo boda boda ikinyesha mvua hawaendi hata iweje,wakati Dar hata maradi yapige usiku kucha watu hawana noma kiongozi....halafu mikoani gharama za usafiri ni ghali sana ukilinganisha na Pwani au Dar.....mfano kutoka Dar hadi Kibiti nauli elfu 5,mkoa mwengine kabisa ........kwa umbali huo huo mkoani nauli inaweza fika elfu 15 na usafiri ni wa ovyo mno
Mkoani wafanyakazi wa kawaida wanatumia hadi elfu 5 boda boda,Dar hio ni nauli wa wiki kwa wajanja wengi wanaojulia mji
4.Afya
Dar hospitali ni nyingi sana na maduka ya dawa yanakesha......mkoani kama una emeregency usiku kazi unayo aisee
Hata madaktari ni wachache pia.....yaani hata wazawa wasomi wa mikoani hua hawataki kuishi
5.Mzunguko wa pesa
Dar ni mkubwa,viwanda,ofisi etc zipo za kutosha,mkoani ni vya kuhesabu.......kuna mikoa viwanda vya kuajili watu 100,kwa pamoja havifiki hata viwili,yaani kama hujasoma,wewe sio boda boda ulime tu kiongozi
6.Giografia.
Mkoani sehemu inayofanana na Dar ni pale makao makuu tu ya mkoa tena kwa asilimia 10% tu..........ambapo utakuta labda baadhi ya watu wa makabila mengine wapo,ukienda wilayani ni vituko vitupu,huko hamna wahindi wala,wachaga,matajiri wao kwa wao tu wanaongea viligha vyao.......,ukienda mgeni unaonekana mchawi,makazini/shuleni ndio usiseme watu wanaongea kilugha kazini kawaida tu kumkuta mwalimu anawaelekeza wanafunzi wa lugha za asili
7.Upatikanaji wa vitu/vyakula.
Mkoani vyakula ni bei rahisi vya kununua ambavyo havijaandaliwa(Raw foods),unaweza pata mkungu hata elfu 3,kuku elfu 5,mayai mia 2........ila changamoto hakuna vyakula vya aina yote.....unajua Dar kila vyakula vipo kutoka mkoa wowote ule Tz.....mikoani vilivyo cheap ni vile tu vinavozalishwa eneo husika.
General Dar ndio penyewe maana utapata unachotaka kutoka mkoa wowote ule.........ukienda mgahawani mikoani ukitaka wali maharage ni kawaida tu kuletewa wali na maharage yaliyochemshwa tu ,hamna hata kitunguu, wakati unakuta huo mkoa unaongoza kulima vitunguu,labda na nafaka zinatoa mafuta.....

8.Psychological
Dar huwezi kua mpweke unaweza lazimisha weekend uende beach kula bata,halafu watu wapo social tu mjini mtu hata humjui munapiga tu stori kijiweni fresh tu....unaondoa stress kiaina.
Mkoani kijiweni wanaongea kilugha,ukienda mgeni wanamute wanaogopa sana polisi au wanaamini unawachunguza.
9.Ustaarabu
Dar/Pwani ,watu ni wastaarabu tu,....ukienda hospitali watu wanajielewa fresh,mtu kama anajua kitu cha pesa anafight,shuleni walimu wakiagiza wanafunzi mchango wazazi wanatoa fresh tu......mkoani na hivi marehemu shujaaa waliwajaza ujinga,watu wanaweza mpiga hata mwalimu kwa kuchangisha hela ya tuition tu shillingi mia mbili apate chochote,hospitali Doctor akisema hii dawa haipatikani kanunue,tayari simu kwa DC,.....wakati mtu mtoto wake mwenyewe.......yaani watu ni wagumu sana kujiongeza mkoani mtu yupo tayari age aisee........halafu mkoani watu wanapenda
Kuchongeana sana,mwalimu ukiwa u akula wanafunzi msala......ushawahi sikia mwalimu wa Dar kakamatwa na mwanafinzi wa sekondari .......Dar hata mazazi akijua hana noma,anajua huyo mwanafunzi wa kike,dudu kaitaka mwenyewe hajalazimishwa.
Kwa Kifupi mkoani sio sehemu ya kuishi kwa mtu anayependa maisha social ya kawaida tu ya kibongo ya kujichanganya popote.......sio sehemu nzuri ya kutafuta maisha na ndio maana vijana wengi wa mkoa wanakuja Dar/Pwani kutafuta maisha.......ushawahi ona kijana wa kizaramo,kindengereko eti ameenda mkoani kutafuta maisha?
Mjini pia ni shule bro
Nina brother ambaye alikuwa ni kama raw model wangu pale kijijini
Nilikuja town bila kurudi home kwa miaka mitano ndiyo bro akanitembelea siku moja nilimuona mtu aliyechelewa sana kwa karibu kila kitu
 
Baada ya maisha ya dar kunichapa kisawa sawa, siku niliyopata kaupenyo ka kuchomoka nakumbuka usiku huo sikulala nilikuwa nawaza kutakucha saa ngapi niukimbie huu mji.

Ila dar nikijaliwa uzima lazima nirudi tu, kwa tabu nilizozipata lazima nizifidie tu
 
Ahsante sana,Uzi umeumaliza kabisa
 
Mi naona pesa ya TASAF wapewe watu wa Dar. Hawana assets, nyumba za kupanga, mikopo ya magari. Mikoani wana nyumba zao hata kama za udongo. Wana ardhi za kulima na kupata chakula!
Kwahio hizi nyumba wanazopanga wamiliki wako mikoani? Kwa taarifa tu ni kwamba Dar ni mkoa wenye kiwango cha chini cha umaskini Tz nzima. Mikoani huko ndio kuna umaskini wa kutupwa.
Zaidi ya 80% ya pato la nchi linatoka Dar, mazao mengi ya chakula mikoani soko lao Dar. Dar hawalimi ushawahi kusikia kuna njaa? Njaa iko huko mikoani wanapolima chakula.
 
Hapa naona ni maelezo ya dar na vijijini mkuu umeambiwa mkoani we umeenda mkoani ukachagua vijiji ndo ukawa una vielezea
Hakuna mkoa wowote wa kuufananisha na Dar Tanzania hii acheni kujipa moyo pambaneni na maisha.
 
Dar chumba kimoja elfu 70
Umeme elfu 20
Maji elfu 10
Usafi na taka elfu 5
JUMLA KWA MWEZI 105,000
Kipato 220,00

Mikoani chumba kimoja elfu 30
Umeme elfu 5
Maji 2000
JUMLA KWA MWEZI 37,000
Kipato 350,000.
Watu wa mikoani Kwa kujipa moyo! Kwahio mkoani mishahara ni mikubwa kuliko Dar?!
 
Maisha ya dar starehe haziepukiki hali ya hewa sio nzuri kwa watu wanaoishi uswahilini ila mzunguko wa pesa ni mkubwa
 
Dar chumba kimoja elfu 70
Umeme elfu 20
Maji elfu 10
Usafi na taka elfu 5
JUMLA KWA MWEZI 105,000
Kipato 220,00

Mikoani chumba kimoja elfu 30
Umeme elfu 5
Maji 2000
JUMLA KWA MWEZI 37,000
Kipato 350,000.
Mkuu..NAKATAA

1. sio rahisi mtu wa 220000 kukaa room ya 70k kwa mwezi..Asilimia kubwa wanakaa vya 30, 40 au 50
2. Umeme 20k Dar na 5k mwanza sijajua kama ni uhalisia...Kwani price/unit kwa dar na mza inatofautiana?...Kuna watu wanalipa 5k au 10 umeme kwa mwezi.
3. Maji...10k ni ndefu sana..
 
Baada ya maisha ya dar kunichapa kisawa sawa, siku niliyopata kaupenyo ka kuchomoka nakumbuka usiku huo sikulala nilikuwa nawaza kutakucha saa ngapi niukimbie huu mji.

Ila dar nikijaliwa uzima lazima nirudi tu, kwa tabu nilizozipata lazima nizifidie tu
Inaonekana wewe ni team mkoani...
 
Nimeishi mikoani pia nimeishia Dar,kwa kazi ile ile mshahara ule ile nitatoa uzoefu wangu kwenye aspect zifuatazo.
1.Social
A.Ukabila,udini
Dar ni sehemu ambayo haina ubaguzi,ni sehemu unayoweza pata rafiki mpenzi wa kabila,dini,rika na kazi yeyote ile mwenye tabia na shepu unayoitaka.
mikoani unaweza kosa mtu unayemuhitaji,kuna sehemu ukienda hakuna waislamu,zingine hakuna wakristo,zingine hakuna Madaktari,Mainginia wala wanasheria,........yaani unaweza ishi sehemu 80 % ni watu wa kabila moja tu,wanaongea kilugha chao ....Dar huu upuuzi hamna
2.Kibiashara.
Dar kila biashara inafanyika usiku na mchana hakuna kukesha,wateja wakija hawana muda wa kuulizia dini kabila wala umetoka wapi,wanahitaji bidhaa.
Mikoani ni vituko kuna sehemu ukienda kama wewe sio wa kabila lao,hupati wateja hata kama unauza bidhaa bei chini na bora sawa na wao,halafu biashara hazifanyiki muda wote .....hapa kuna sehemu nimefika mjini kabisa eti nimekosa nyama mabucha yamefungwa,sasa si uhanithi huu.
Hizi biashara za kudeal na watu mikoani ndio kabisa,yaani daktari uende mkoa flani hujui kilugha chao,wakati kuna kijana kutoka kwao,watu wapo tayari wafe lakini huwagusi.
Tatizo jingine mikoani hamna kila kitu,mfano kanda ya ziwa ni ngumu sana kupata pweza,ngisi na products za baharini wakati Dar kila kitu cha mkoani utakipa kwa bei yeyote ile unayoitaka ......yaani hata sato fresh Dar
watu wanakula tu hawana habari.
3.Usafiri.
Hii sehemu nilipo boda boda ikinyesha mvua hawaendi hata iweje,wakati Dar hata maradi yapige usiku kucha watu hawana noma kiongozi....halafu mikoani gharama za usafiri ni ghali sana ukilinganisha na Pwani au Dar.....mfano kutoka Dar hadi Kibiti nauli elfu 5,mkoa mwengine kabisa ........kwa umbali huo huo mkoani nauli inaweza fika elfu 15 na usafiri ni wa ovyo mno
Mkoani wafanyakazi wa kawaida wanatumia hadi elfu 5 boda boda,Dar hio ni nauli wa wiki kwa wajanja wengi wanaojulia mji
4.Afya
Dar hospitali ni nyingi sana na maduka ya dawa yanakesha......mkoani kama una emeregency usiku kazi unayo aisee
Hata madaktari ni wachache pia.....yaani hata wazawa wasomi wa mikoani hua hawataki kuishi
5.Mzunguko wa pesa
Dar ni mkubwa,viwanda,ofisi etc zipo za kutosha,mkoani ni vya kuhesabu.......kuna mikoa viwanda vya kuajili watu 100,kwa pamoja havifiki hata viwili,yaani kama hujasoma,wewe sio boda boda ulime tu kiongozi
6.Giografia.
Mkoani sehemu inayofanana na Dar ni pale makao makuu tu ya mkoa tena kwa asilimia 10% tu..........ambapo utakuta labda baadhi ya watu wa makabila mengine wapo,ukienda wilayani ni vituko vitupu,huko hamna wahindi wala,wachaga,matajiri wao kwa wao tu wanaongea viligha vyao.......,ukienda mgeni unaonekana mchawi,makazini/shuleni ndio usiseme watu wanaongea kilugha kazini kawaida tu kumkuta mwalimu anawaelekeza wanafunzi wa lugha za asili
7.Upatikanaji wa vitu/vyakula.
Mkoani vyakula ni bei rahisi vya kununua ambavyo havijaandaliwa(Raw foods),unaweza pata mkungu hata elfu 3,kuku elfu 5,mayai mia 2........ila changamoto hakuna vyakula vya aina yote.....unajua Dar kila vyakula vipo kutoka mkoa wowote ule Tz.....mikoani vilivyo cheap ni vile tu vinavozalishwa eneo husika.
General Dar ndio penyewe maana utapata unachotaka kutoka mkoa wowote ule.........ukienda mgahawani mikoani ukitaka wali maharage ni kawaida tu kuletewa wali na maharage yaliyochemshwa tu ,hamna hata kitunguu, wakati unakuta huo mkoa unaongoza kulima vitunguu,labda na nafaka zinatoa mafuta.....

8.Psychological
Dar huwezi kua mpweke unaweza lazimisha weekend uende beach kula bata,halafu watu wapo social tu mjini mtu hata humjui munapiga tu stori kijiweni fresh tu....unaondoa stress kiaina.
Mkoani kijiweni wanaongea kilugha,ukienda mgeni wanamute wanaogopa sana polisi au wanaamini unawachunguza.
9.Ustaarabu
Dar/Pwani ,watu ni wastaarabu tu,....ukienda hospitali watu wanajielewa fresh,mtu kama anajua kitu cha pesa anafight,shuleni walimu wakiagiza wanafunzi mchango wazazi wanatoa fresh tu......mkoani na hivi marehemu shujaaa waliwajaza ujinga,watu wanaweza mpiga hata mwalimu kwa kuchangisha hela ya tuition tu shillingi mia mbili apate chochote,hospitali Doctor akisema hii dawa haipatikani kanunue,tayari simu kwa DC,.....wakati mtu mtoto wake mwenyewe.......yaani watu ni wagumu sana kujiongeza mkoani mtu yupo tayari age aisee........halafu mkoani watu wanapenda
Kuchongeana sana,mwalimu ukiwa u akula wanafunzi msala......ushawahi sikia mwalimu wa Dar kakamatwa na mwanafinzi wa sekondari .......Dar hata mazazi akijua hana noma,anajua huyo mwanafunzi wa kike,dudu kaitaka mwenyewe hajalazimishwa.
Kwa Kifupi mkoani sio sehemu ya kuishi kwa mtu anayependa maisha social ya kawaida tu ya kibongo ya kujichanganya popote.......sio sehemu nzuri ya kutafuta maisha na ndio maana vijana wengi wa mkoa wanakuja Dar/Pwani kutafuta maisha.......ushawahi ona kijana wa kizaramo,kindengereko eti ameenda mkoani kutafuta maisha?
Umeongea kwa hasira sana
 
Its over!. Case closed
 
Dar ni mkoa ambao unafunza watu maisha namna ya kuzisaka pesa.kila siku watu wanaamka mapema kama popo ili ilimradi siku isimpite bila tonge.
Dar maisha ni magumu iwapo utakuwa mtu wa kuamka kulala bila shughuli.
Dar hata kama ulikuwa mnene utapungua kwani kuna wakati utashinda njaa ili kuhakikisha watoto wanakula.
Dar ni jiji la mipango kama wewe hukuzoea kuumiza kichwa tafadhali enedelea kulala.
Dar watu wengi wanaishi kuijanja janja tu.
Hili jiji kwa kweli limenifundisha mengi maana niliacha elimu yangu baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusaka noti.
Asante sana dar umenilea japo udogoni mwangu umeifanyia mabaya mpaka leo hayatafutika.dar utaelendelea kuishi ndani ya moyo wangu kwa kuwa nina kumbukumbu mbaya na wewe.
Asante na tena shukrani dar.
 
Mpaka sasa hivi naona Maisha ya mikoani yanapigwa KO na maisha ya Dar...sasa wale ndugu zetu wanaosemaga vijana tutoke Dar twende mikoani ambako life ni easy mbona siwaoni?
 
Ukiweza kuishi DSM vizuri, basi unaweza kuishi popote pale nchini bila tatizo ikiwemo huko mikoani
Hyo ni Arusha mkuu ukiweza kuishi chuga popote unatoboa dsm maisha ni mchele ila hali ya hewa ndo ya kipumbavu kabsa
 
Dar ni mkoa ambao unafunza watu maisha namna ya kuzisaka pesa.kila siku watu wanaamka mapema kama popo ili ilimradi siku isimpite bila tonge.
Dar maisha ni magumu iwapo utakuwa mtu wa kuamka kulala bila shughuli.
Dar hata kama ulikuwa mnene utapungua kwani kuna wakati utashinda njaa ili kuhakikisha watoto wanakula.
Dar ni jiji la mipango kama wewe hukuzoea kuumiza kichwa tafadhali enedelea kulala.
Dar watu wengi wanaishi kuijanja janja tu.
Hili jiji kwa kweli limenifundisha mengi maana niliacha elimu yangu baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusaka noti.
Asante sana dar umenilea japo udogoni mwangu umeifanyia mabaya mpaka leo hayatafutika.dar utaelendelea kuishi ndani ya moyo wangu kwa kuwa nina kumbukumbu mbaya na wewe.
Asante na tena shukrani dar.
Bro...umeandika kwa hisia sana...pole kwa kumbkumbu mbaya za utotoni
 
Back
Top Bottom