Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Mtoto mzuri lkn... 😂
Hahahaaaa kasoro amejiandaa kwenye kitanda cha hospital
Ndugu tatizo lipo kwetu tunachagua kwa vigezo vya kibinadamu kama tabia, sura,elimu, kabila n.k hivyo ndivyo makosa yetu
1624208290327.png
 
Waleeni mabinti zenu vizuri ili wawe wake bora baadaye, acheni kulaumu haitasaidia, jiulize wewe kama baba unashiriki vipi kuhakikisha binti yako ni wife material wa baadaye?
Ndugu mwandishi..
Unaweza ukalea weeee ila dunia ikakufanya VISIVYO.

Hivi unajua kuwa Amber Rutty baba ake ni ustadhi?
Hivi unajua watoto wa wachungaji Chuoni wanaliwa sanaa?

#YNWA
 
umeongea point sana mkuu lakini hata sasa waowaji wapo wachache pia vijana wengi wasasa hawataki kuoa
 
Ndugu mwandishi..
Unaweza ukalea weeee ila dunia ikakufanya VISIVYO.

Hivi unajua kuwa Amber Rutty baba ake ni ustadhi?
Hivi unajua watoto wa wachungaji Chuoni wanaliwa sanaa?

#YNWA
Tena baadhi ya wchngj ni hatariiii Sana Kama yule aliye kula demu wako
 
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana

Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Wa mtaani kwako nini? Umetembea miji na vijiji vyote?
 
Sio 50% hawafai, 99.9% hawafai kuolewa wala Kuwa Mama, Ni ngumu ila ndio ukweli, Ili kukabiliana na hili tatizo ndoa za mkataba na prenuptial agreement ni lazima. Kwa hio sheria za ndoa lazima zibadilishwe, kwani hiki ni chanzo pia cha umasikini Tanzania. Tz sio ya kwanza kubadilisha sheria za ndoa, China iligungua sheria za ndoa zinarudisha UCHUMI nyuma na wakabadilisha.
Tunaomba ufafanuzi zaidi Mkuu.... Hapo uliposema kuwa Ndoa pia ni chanzo Cha umasikini Tanzania.
 
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana

Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Mimi mhanga wa wanawake wa design hiyo
 
Back
Top Bottom