Recent content by MBUNTE 84

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahabusu afariki akiwa Mikononi mwa polisi

    nchi ya kis*&*^& sana afu bado mnasema maisha bora kwakila mtanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Dodoma lazuia maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 18

    Mie sioni kosa lolote mtu kuandamana endapo hakuna furugu lakini kwa hii nchi ni tatizo hivi vijana wenzangu mnadhani maendeleo yanakuja by miracles ..inabidi watu tuwe waelewa wale jamaa wapo bungeni wanakula tu laki 3 kila siku na hamna katiba yoyote itakayo patikana kwanini hizo hela...
  3. M

    JamiiForums Tanzania nahiaji phanoom R7 kwa 350k

    ni aina ya tecno
  4. M

    JamiiForums Tanzania nahiaji phanoom R7 kwa 350k

    hello yoyote mwenye hiyo cmu nipo tayari kununua kwa bei ya 350,000
  5. M

    JamiiForums Tanzania Davido Mbona wa kawaida

    Mie nashangaa wabongo wanampenda davido wakati nairaland hata top ten hayupo au sababu ameimba na diamond ...pumba...fff zenu wabongo
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni ushenzi uliopitiliza

    Nchi yenyewe imekaa ki filauni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee Duniani ambayo Wasomi hutundika Shahada zao na kutumikia Ujinga

    Mbona mnafyata sana....raia wa hii nchi wamezaliwa siku ya wajinga duniani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Kidumu CCM ....oyeee...na bado mtatakata tu....mpaka woga wenu uishe na rangi yenu iwe nyeupe kama mm ndio mtapata mabadiliko bora sisi tuliozamia UK raha tupu...na kesho nairudisha passport lenu
  9. M

    JamiiForums Tanzania UEFA startimes

    Ahsante for info.. Nimekosoma mdau
  10. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lafikia trilioni 40, IMF yaionya serikali

    Tatizo lenu mnaongea tu hamna action ....na mtatakata chezea CCM ....ngozi nyeusi ni waoga sana ingekuwa mwarabu au mzungu ..kitaani pangesomeka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Ndio nchi yenu hii ya ki...enge sasa mnalalamika nini .....
  12. M

    JamiiForums Tanzania UEFA startimes

    Channel ipi wanaonyesha UEFA champions league maana DTV imezima please naomba kujua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kubet kwa m-bet ya Vodacom

    Samahani sana pengine sipo sehemu husika naomba kujuzwa sehemu ya kuchagua mechi husika inakaa nikiingia namba inaniambia nimekosea naombeni mnisaidie wale wa wataalam wa kubeba box. Inaniambia chaguo sio sahihi .jaribu tena .(ni section ya pili baada ya kuchagua handicap). Ahsanteni sana .na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar

    Alafu Kuna Misambinungwa inataka serekali mbili
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nokia Lumia kati ya 520,525 au 620.

    IPO lumia 800 bei ni 250K. Nicheck kwenye 0712162034
Back
Top Bottom