Samahani sana pengine sipo sehemu husika naomba kujuzwa sehemu ya kuchagua mechi husika inakaa nikiingia namba inaniambia nimekosea naombeni mnisaidie wale wa wataalam wa kubeba box.
Inaniambia chaguo sio sahihi .jaribu tena .(ni section ya pili baada ya kuchagua handicap).
Ahsanteni sana .na samahani sana labda nimeleta mada sehemu sio.