Nahitaji Nokia Lumia kati ya 520,525 au 620.

Nahitaji Nokia Lumia kati ya 520,525 au 620.

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
694
Mwenye sim kati ya nilizotaja hapo juu tuzungumze.
 
Used lkn iko ktk hali nzuri yaani ni kama mpya vile,imefungwa ktk network ya vodafone UK, bei ni 450,000 maongezi yapo

Mkuu hiyo bei ipo juu kuliko hata 625 mpya dukani,520 mpya dukani ni 200' had 250'. Uko mbali hadi naogopa kusema.
 
Back
Top Bottom