Recent content by Mbuna

  1. Mbuna

    Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Huyu jamaa ametushika nyota Waafrika wengi sana
  2. Mbuna

    Malapulapu ya Mbwa wanakula wanadamu, sasa mbwa atakula nini?

    Huku Tanga wanakula hadi utumbo wa nguruwe
  3. Mbuna

    Kufahamu mambo yako hapa: Ramli ya kutizama mambo unayotaka

    Mkuu nitafsirie namba 2
  4. Mbuna

    Jukwaa la Wahariri(TEF),mnafanya kosa lile lile lililofanywa na Maaskofu wa KKKT na TEC

    Story yako kwanza inachosha ! Mungu ipo siku atawafanya munene kwa lugha moja
  5. Mbuna

    Usagaji ni hatari zaidi ya michepuko

    Wamesambaa nchi nzima ingia Fb kagua utajionea walivyo wengi
  6. Mbuna

    Usagaji ni hatari zaidi ya michepuko

    Ukitaka kujua usagaji umekufuru ingia FB andika Msagaji afu Such utaona jinsi wadada wanavyochangia tamu tamu...wapo wengi sana. Akiongozwa na Irine Mushi, Aisha Msagaji
  7. Mbuna

    Kubet ni janga jipya, labda ni pacha wa shisha

    Point.hii kitu imewasaidia vijana sana.wengine tumefanya betting kama starehe
  8. Mbuna

    Kubet ni janga jipya, labda ni pacha wa shisha

    Point.hii kitu imewasaidia vijana sana.wengine tumefanya betting kama starehe
  9. Mbuna

    Mkopo wa fedha.

    Mhi! Ila kweli tusimdhihaki, me ningua nayo ningekusaidia ila ndo hivyo sina, kwani najua maumivu uliyonayo me ilishanitokea mtoto akiumwa na ilikuwa yahitajika Milion moja laki mbili, nilihangaika kila mahali sikupata msaada na ndugu walinitenga mpaka nikaweka rehani shamba langu ila namshukuru...
  10. Mbuna

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mungu ni mwema baada ya kitambo Leo bimembutua tena huyu mzungu
  11. Mbuna

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Tafuta point tatu bet utapata Ml3 afu tafuta tena tatu bet milioni mbili utapata sita, afu tafuta odds tatu bet ml5 utapata milioni 15+2=17 .million kumi na tano itatosha business na unabakiwa na ml2 unaendelea kubeti. Hili ni jambo la wiki moja tu ukiwa makini
Back
Top Bottom