Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Sasa cha kushangaza ni kipi,, Brian decon ame play role kubwa sana katika kueneza dini na kufanya dini ijulkane karibia kila kona ya Dunia
 
Hiyo post ya Google ni gospel kwako?
Unajua nani kaindika
Wajua Waislamu ndio waliowatimua Holy Roman Empire toka Babylon Palestina na Jerusalem
Jiongezee kidogo
Umerudi na imani zako za kiupatu upatu,zinasobiri uzushi kuhusu wengine ndio wajione kuwa wapo sahihi kwa muda mfupi tuu. HIyo post unajua nilipost ktk hoja gani?Hembu rudi ukasome vyema.Nipo makini kuliko unavyodhani.NIliiweka kuongeza changamoto kwa kanjanja aliyekuwa akibisha kwa hoja za akina ponda waliosambaa duniani.Ambao wapo desperate kutafuta material hata yenye harusu kidogo tuu ya kujinasibu ili watoke na kurukaruka kuwa dini yao ni ya kweli.

Hilo la Roman Empire, lina mengi sana.Ila nikukumbushe tuu hata mbwa wako anaweza kuuma na kuua. Roman empire ilianza kufa kwa mambo mengi.Watawala waliendekeza anasa na ukatili. Ila pia walilaaniwa ,laana inaweza pelekea kuumwa na mbwa,kuumwa na nyoka.Haimfanyi nyoka kuwa mtu.Ila akiamuru Mungu hata shetani anatii.HIvi wewe ukimkanya mwanao asifanye ujambazi na kumlaani km atafanya tena.Kisha akauwawa ktk mgao na jambazi mwenzie. Utaweza kudai kuwa jambazi mwenzie ni askari mlinda sheria au huyo jambazi ni malaika?Hata spain uislam uliingia ukamkuta prince wa huko anakula starehe.Matokeo yake wakatawaliwa zaidi ya miaka 500, makanisa yakawa misikiti,waispania wakazalishwa na kusilimishwa,waliokataa uislam wengine waliuwawa,wengine wakalipishwa kodi ya kichwa.


Ila wazungu wachache waliobakiw akaonyesha kuwa smart kuliko vichwa maji wa kiarabu. Waliwageuka simu moja.Na kuwafanyia hivyo hivyo,ama wawe wakatoliki ama wauwawe, ama wahame spain. Wakarudisha makanisa yao, na misikiti mingine ikawa makanisa km kawa. Na madanguro yao km zile bafu za harem kule zenj,yakachukuliwa .Hadi leo spain inaangaliwa kwa jicho fulani na waarabu.Nao wanawaangalia kwa jicho fulani.Spain wakisinzia jamaa wanarudi kumwaga tena damu,mzunguko unaenda hivyo hivyo.

Waarabu hawajakoma hayo majaribio.Enzi hizi za hela za mafuta, wameanza tena ji behave vibaya ktk dunia.Ila wazungu wanawaangalia vyema sana. Bado shetani aliyepo ndani yao anawatuma kulipiza,anawatuma kwa nguvu sana kutafuta namna ya kudhalilisha imani za Mungu aliye tofauti na mungu wao.Wakipata nafasi ya kutumia hela vibaya lazima aende kwa namna ya ugaidi.Wakinunua timu wanafanya kwa nmna ile ile, na kununua majengo ya ibada,kumwaga hela ktk namna ya kivita.Wazungu wame documente vyema sana. Ni timing tuu,wakishasababisha vita kila front then wakianza malizwa kila mtu duniani atafurahi.Kwa vile India wahindu wana shida, Myamar wabudha wana shida, ulaya wakristu na atheist wana shida. Africa wakristu ,wapagani wana shida, uchina wabudha wana shida, thailand wana shida, israel na duniani kote wayahudi wana shida. Its a matter of time, vita itakuwa kila front,wazungu watatembeza kibano na kufuta nyayo zote za muarabu.
 
Sasa cha kushangaza ni kipi,, Brian decon ame play role kubwa sana katika kueneza dini na kufanya dini ijulkane karibia kila kona ya Dunia
hawa jamaa hawajui kuwa visual and audio zina effects kubwa sana ktk kujifunza. Hawajui kwamba ukristu usingeeleweka bila video. Dunia ina tamaduni tofauti za kufanya yafanywayo ktk historia ya Biblia haswa maisha ya wayahudi. It was through video ,ndio nilielewa maandishi ,nikapata majibu Yesu alitokaje ktk kaburi, na nini maana ya kaburi jipya. Sikuweza pata majibu sana kwa wazee ambao hawakua wameona video na hivyo hawakuweza pata picture makaburi ya wayahudi yalikuwa vipi na yalionekana vipi, na kwanini yalikuwa maelezo ya upya na utumikaji. Nilivyoona kuwa makaburi yalikuwa yanachimbwa km chumba ktk miamba, na yalitumika kwa watu wengi,kuwekwa huko, hadi wanaoza ndipo niliweza jua kuwa Yesu hakufukua udongo,na kusukuma jiwe lilikuwepo juu yake. hayo makaburi kuna kipindi ilifikia wanacaanzisha jipya. Kwa hiyo Yesu alikuta jipya.
 
MJUE MWIGIZAJI WA FILAMU YA #YESU AMBAYE BAADHI YA WATU HUDHANI KWAMBA NI YESU,

"MWENYEWE AMESHANGAZWA NA BAADHI YA WAUMINI KUWEKA PICHA ZAKE KWENYE MAKANISA, MAJUMBA YAO NA KUVAA ROSARI ZENYE SANAMU YAKE WAKIAMINI YEYE NI YESU KITU AMBACHO SI KWELI

Jamaa ameigiza filamu ya Yesu inayofahamika kwa jina la ''JESUS'' mnamo mwaka 1979 huko nchini Israel,

kwenye filamu hiyo ni mwigizaji tu na siyo YESU au ISSA BIN MARYAM kama wanavyomuita Waislamu .

hata yeye amekiri kwamba wakati wa uigizaji alikuwa akisuluhisha mambo yaliyokuwa yakijitokeza yeye na waigizaji wenzake baada ya wao kusahau kwamba yeye si Yesu bali anaigiza tu. KARIBU.

BRIAN DEACON NDANI YA FILAMU YA ''JESUS''

Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa na mkewe huyo binti yao aitwaye Lara Deacon,

ndoa yake ya pili alioana na mwanamama Natalie Bloch mnamo mwaka 1998 mpaka sasa wapo kwenye ndoa hiyo.

Aliigiza filamu ya Yesu baada ya kupita kwenye mchujo mkali wa waigizaji zaidi ya elfu moja ambao walifanyiwa mahojiano huku 260 wakijaribishwa kuigiza(screen test)kuona kwamba wanafaa akiwa ni mwingereza pekee kati ya waigizaji Waisrael walioingia kwenye usaili huo akiwa chini ya kampuni iitwayo New shakespears ambako alikuwa akifanya sanaa za majukwaani na uigizaji.

#Brian Deacon miaka iliyofuatia baada ya kuigiza kama Yesu.

Amesema kabla ya kuchaguliwa mtihani wake wa kwanza ulikuwa kutoka kwa wakala wake aliyemvunja moyo kwakumweleza hadhani kama yeye(Brian)atafaa kwenye kumwigiza Yesu,lakini anasema alifanikiwa,baada ya hapo akawa na wakati mgumu kutoka kwa watu ambao kila mmoja alikuwa anajaribu kumweleza jinsi anavyotakiwa kuigiza,sauti yake na mambo mengine,ingawa yeye alisema nitatumia sauti yangu na maelezo kutoka kwa muongozaji.

Amesema wiki tatu kabla hawajaanza kurekodi filamu hiyo alisoma kitabu cha Luka mtakatifu zaidi ya mara 20 kwakuwa filamu hiyo imenukuliwa kutoka kitabu hicho

Katika miezi saba waliyochukua kuigiza filamu hiyo Brian amesema,walikuwa wanaigiza kwa masaa mengi kuanzia saa kumi za alfajiri mpaka mwisho wa siku kiasi kwamba wakati mwingine aliwaambia wenzake kwamba wamsaidie kwani amechoka sana hajui kwamba angeweza kuigiza kwa siku hiyo

Baada ya filamu hiyo Briana anasema alirudi kuigiza majukwaani na kwenye runinga,

,filamu hiyo ambayo ilitengenezwa chini ya Campus Crusade for crusade ambao kwasasa wanaitwa Life Ministry pia nchini Tanzania wapo chini ya mkurugenzi Dismas Shekhalage.

ambapo tayari imetafsiriwa katika lugha zaidi 500 huku nyingine zaidi ya 200 zikiwa njiani kutafsiriwa.

BRIAN ANAWAAMBIA WATU WOTE DUNIANI KUWA YEYE SI YESU BALI YEYE NI MUIGIZAJI TU, WALA HAFANANI NA YESU KWANI ENZI ZA YESU HAPAKUWEPO NA TEKNOLOGIA YA CAMERA HIVYO HATA SURA HALISI YA YESU HAIJULIKANI ZAIDI YA WATU KUOTEA NA KUBUNI JINSI YESU ALIVYOFANANA KAMA DIRECTOR WAKE ALIVYOBUNI KWA DEACON

BRIAN PIA AMESHANGAZWA NA BAADHI YA WAUMINI KUWEKA PICHA ZAKE KWENYE MAJUMBA YAO NA KUVAA ROSARI ZENYE PICHA YAKE WAKIAMINI YEYE NI YESU KITU AMBACHO NI MAKOSA

AMESEMA ILI KUTHIBITISHA KUWA YEYE NI MUIGIZAJI TU AMEZITAJA filamu alizowahi kushiriki ni pamoja na A zed & Two Noughts ya mwaka 1985, The Feathered Serpent ya mwaka 1976-1978 na Tamthilia iitwayo Lillie iliyoigizwa mwaka 1978 akitumia jina la Frank Miles.

Huyo ndiye Brian Deacon mwigizaji mkuu wa filamu ya ''JESUS''iliyoigizwa mwaka 1979 huko nchini Israel.
FB_IMG_1541176964407.jpg
FB_IMG_1541176959778.jpg
FB_IMG_1541176956492.jpg
FB_IMG_1541176953174.jpg
FB_IMG_1541176950118.jpg
FB_IMG_1541176946934.jpg
FB_IMG_1541176942679.jpg
FB_IMG_1541176937553.jpg
 
Bado hainiingiagi akilini niliwezaje kudanganyika namna hii na kuamini kitu kisicho cha kweli, hadi kesho nikimwaza Yesu ananijia katika sura ya huyu jamaa, wazungu wametuharibu sana akili pumbavu zao.

Kuna kipnd kwel nilidanganyka ila nilistuka mapema lakn wazaz walikua wananiwekea ngumu na kusema "uyu mtoto pumbavu sana" na ukishangaa na makofi unakula
 
Back
Top Bottom