Nahitaji msaada wako ila namba niko tayari kuku PM sio kuweka hadharani.mkuu weka namba tukuchangie chochote mbona unaweka usiri. ndio maana watu wanapata wakati mgumu kukuamini. usiri/privacy ktk shida hii unayoieleza hapa sio pahala sahihi ikizingatiwa UTAPELI umekithiri zama hizi. wachachw wakijaliwa kujawa na moyo wa utu na uamuzi wa kupoteza km. michango ileeeee potelea mbali utaambulia hicho kidogo. we kazana na pm utaishia kutangatanga
Pole sana ndugu...bahati mbaya sipo karibu...ila ningekukopesha na ungenirejeshea pasi riba yoyote. Nakuombea kila la kheri.Habari Jamiiforum
Msaada mkopo wa haraka wa 200,000TZS.
Nitarudisha 280,000TZS tarehe 31/01/2016.
Lengo la kuhitaji mkopo ni kutatua tatizo la ugonjwa la ndugu yangu.
Dhamana ni vyeti vyangu(Form four,six na chuo).
Nipo Dar wilaya ya Ubungo kwa mwenye nia ya kunisaidia njoo PM kama haikuhusu pita kimya kimya.
Wewe ni mchawi mbobezi,au ndio wewe ulikuja PM na kutaka kunitapeli TV kisa nina shida.....dah,mkuu shida yako ilisound urgent sana,na hii ni wiki ya 3 sasa bado unaomba msaada/mkopo
..cha ajabu,imekuchukua takribani wiki mbili kuweka namba hadharani ili wadau walioguswa tukuchangie kwa tutakachojaaliwa badala ya kukopa,tena kwa riba
......shida nini,watu wakihisi unataka kuwapiga cheusi chekundu utaona wamekuonea!?
Nakupa tsh.200,000/= LEO LEO hiyo tar 31 unanipa tsh.300,000/= ila nachukua tv kama collateral mpaka hyo tar. 31......sitaki vyeti..... Nipo UbungoWewe ni mchawi mbobezi,au ndio wewe ulikuja PM na kutaka kunitapeli TV kisa nina shida.
Nimetoa maelezo ya kutosha kuanzia post ya kwanza hadi majibu kulingana na maswali.
Nimeandika hapo kuwa dhamana ni vyeti vyangu kuanzia O level hadi Chuo kikuu,nilikuwa tayari kulipa kwa riba sio kupewa bure.
Namba ya simu nimeondoa kulingana na maneno yako,pia namba ya simu sio lazima kila mmoja aione ndiomaana kuna option ya PM.
Cheka sana omba yasikukute.
....salaaalee..,nishakuwa 'mchawi mbobezi' na nimejaribu kukutapeli TV tena!??Wewe ni mchawi mbobezi,au ndio wewe ulikuja PM na kutaka kunitapeli TV kisa nina shida.
Nimetoa maelezo ya kutosha kuanzia post ya kwanza hadi majibu kulingana na maswali.
Nimeandika hapo kuwa dhamana ni vyeti vyangu kuanzia O level hadi Chuo kikuu,nilikuwa tayari kulipa kwa riba sio kupewa bure.
Namba ya simu nimeondoa kulingana na maneno yako,pia namba ya simu sio lazima kila mmoja aione ndiomaana kuna option ya PM.
Cheka sana omba yasikukute.
Namimi nimekupuuza kulingana na maneno yako ya kuingiza mambo ya utapeli kwenye shida yangu,acha kuandika ujinga kwenye post yangu ipo siku utapatwa na shida.....salaaalee..,nishakuwa 'mchawi mbobezi' na nimejaribu kukutapeli TV tena!??
...maadamu umereact badala ya kurespond,nimechagua kukupuuza!
.naona una shida zaidi kichwani kuliko hii ya fedha!
Pole sana mkuu,yaani shida isikie kwa jirani.Mhi! Ila kweli tusimdhihaki, me ningua nayo ningekusaidia ila ndo hivyo sina, kwani najua maumivu uliyonayo me ilishanitokea mtoto akiumwa na ilikuwa yahitajika Milion moja laki mbili, nilihangaika kila mahali sikupata msaada na ndugu walinitenga mpaka nikaweka rehani shamba langu ila namshukuru Mungu nimemalizia kulipa deni mwezi wa kumi. Riba ilikuwa laki tatu
....teh hee hee..,umefika chuo ila matumizi ya alama ya kuuliza,tena humbly yamekushinda!..,hilo si kosa langu,au sio!Namimi nimekupuuza kulingana na maneno yako ya kuingiza mambo ya utapeli kwenye shida yangu,acha kuandika ujinga kwenye post yangu ipo siku utapatwa na shida.
Eti utapeli wakati nahitaji pesa kwa dhamana,umeniudhi mno,pia inawezekana ni mtu mwenye njaa ila hapa unaamua kujiweka kama hujawahi kupatwa na shida.
Una uhakika mimi ni dogo kwako?....teh hee hee..,umefika chuo ila matumizi ya alama ya kuuliza,tena humbly yamekushinda!..,hilo si kosa langu,au sio!
...na kwa kumbukumbu tu ujione ulivyo mjinga,nilikuwa mtu wa pili kuwa positive kwenye huu uzi wako,na mtu wa kwanza kukuombea msaada kwa mtu nilieamini anaweza kukusaidia kwa haraka!..angalia post ya 5 ya huu uzi wako..
..next time jifunze kutuliza akili kabla ya kujibu tu dogo!
.hasira hasara!
Wewe huna akili kweli,mimi niliomba mkopo wa 200,000 na kurudisha 280,000 kwa miezi miwili,yaani tangu nilipoomba hadi tarehe 31 mwezi wa kwanza....teh hee hee.,naona ushaanza kunipotezea muda,tufanye kitu kimoja rahisi sana;
...wewe TAPELI tu,kafie mbele!..kila mtu ana shida zake!
..umetaka mkopo umekosa,waungwana wanataka kukuchangia unaleta mashauzi kutoa namba;leo umepewa ofa ya kupewa hiyo hela urudishe laki 300,000 bado unadengua eti utalifanyia kazi!
..huna cha mgonjwa wala nini,wewe TAPELI tu blalbasket!
.na humuachii mtu manyoya humu,kuku wa zebanga!
Una uhakika sijatafuta wateja kama hujui shida kaa kimya,unaweza kutafuta mteja na usipate mtu anakuja anakuambia nimuuzie TV na Radio kwa 200,000 wakati vyote vina thamani ya 700,000 sasa sijui utauza au unaamua kutafuta njia nyingine......huna mgonjwa wewe!...,unachagua vya kujibu,sio?....wiki ya tatu hii,hiyo haraka ni haraka gani sasa..,na bado eti unashupaza shingo kwenye msaada!
..mwenye shida hasa angekuwa kashauza zamani asset yoyote,we unaleta mashauzi zaidi ya Isha!
...wewe MWIZI tu,
.......na kwa taarifa yako,naweza kuwa na shida zaidi yako ila nasema nazo!..mjini hapa,ukipenda vya bure bure..UTAPAKATWA!