Recent content by mbumba

  1. M

    Mh Rais tunaomba usikie kilio chetu

    Mkuu kuna mapori yametengwa kwa local hunting yaani kwa watanzania kila wilaya zaidi tumeanza Kuwinda toka Ma Babu zetu na Wanyama hawaishi na Kuwinda sio kujiamulia tu unawinda kutokana na Kibali halali unapewa na wilaya husika sasa ukisema Wanyama wataisha ni kwa sisi watanzania tu? Kwa wageni...
  2. M

    Mh Rais tunaomba usikie kilio chetu

    Kuwnda ni haki yetu sisi watanzania tumefungiwa Kuwinda ila wageni wanaruhusiwa. Sisi tuna haki ya Kuwinda nchi ni kwetu
  3. M

    Mh Rais tunaomba usikie kilio chetu

    Kuwinda ni haki yetu watanzania sisi tumefungiwa Kuwinda ila Wageni wanaruhusiwa hii sio haki na sisi tuna haki katika nchi yetu mkuu
  4. M

    Mh Rais tunaomba usikie kilio chetu

    Tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu J.P.M wananchi wa Tanzania tupewe haki yetu ya kuwinda wanyamapori kwa kufuata sheria na kanuni za uwindaji na sio kubaguliwa nchini mwetu na wizara husika kwa kuifanya burdani hii ni ya wageni tu tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu afuatilie wizara hii
  5. M

    Raisi wangu naomba uangalie hili suala tunakutegemea wewe

    Mheshimiwa Raisi Mimi Kama mtanzania naomba niweke hili suala hapa ili tulijadili kwani kila Mwananchi Ana haki ya kufaidi Matunda ya nchi yake Miaka yote mtanzania yeyote alikua anaruhusiwa kupata Kibali cha uwindaji ukifika msimu wa uwindaji yaani kuanzia mwezi wa Saba mpaka mwisho wa mwezi...
  6. M

    Nimekamatwa na Askari WA Usalama barabarani

    Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti...
  7. M

    Kampuni au shirika la kudhamini kilimo

    Wana jamii hali zenu naomba kwa yeyote anae jua shirika au kampuni ya kumdhamini mkulimu katika Mkoa WA arusha Mimi Nina Shamba natafuta wadhamini WA kunipatia mbegu kufadhili kilimo changu Cha mahindi na maharage naomba mwenye kuyajua mnisaidia
  8. M

    Kwanini Waarabu na Wahindi Tanzania ni matajiri?

    Wabongo wakirithi wanaanza kuuza kila kitu hawaendelezi ni pombe na kuhonga
  9. M

    Nyalandu ahusishwa na Kampuni Inayotuhumiwa Kwa Ujangili

    Nyalandu alipiga marufuku kwa Miaka miwili uwindaji WA raia yaani mTanzania yeyote ni marufuku kuwinda kwa miaka miwili kakini Wageni Kama mwiba safari na makampuni ya kigeni ruksa kuwinda mnajua sababu? Ni kwamba wawe huru kufanya lolote kwa sisi watanzania tukiendelea kuwinda itakua ngumu kwa...
  10. M

    Was Jesus Black?

    Yote ni uongo hata ukristo ni Kanya boya
  11. M

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Mimi Nina iPad mini ila nikitaka upgrade iOS haikubali lakin kabla ili kua inakubali nifanyaje
  12. M

    Siamini nimejikuta nimekua billionea ghafla

    Yani nimeota usingizini kua nimekua bilionea ghafla nilitamani ndoto isiishe
Back
Top Bottom