Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?