Raisi wangu naomba uangalie hili suala tunakutegemea wewe

mbumba

Member
Oct 20, 2015
49
8
Mheshimiwa Raisi Mimi Kama mtanzania naomba niweke hili suala hapa ili tulijadili kwani kila Mwananchi Ana haki ya kufaidi Matunda ya nchi yake Miaka yote mtanzania yeyote alikua anaruhusiwa kupata Kibali cha uwindaji ukifika msimu wa uwindaji yaani kuanzia mwezi wa Saba mpaka mwisho wa mwezi wa 12 ili tupate kitoweo wakati aliekua Waziri wa Maliasili wakati huo nyalandu kabla hajamaliza muda wake akapiga marufuku uwindaji kwa wenyeji yaani watanzania tu ila wageni wanaendelea kuwinda je hii ni haki kutufungia wenye nchi na wageni kuruhusiwa sisi hatuna haki Ktk nchi yetu nakuomba sana mheshimiwa Rais wetu uangalie hili suala kwani wewe ni Mkombozi wetu sisi wanyonge wa nchi hii kwanini tufungiwe? Na wageni waruhusiwe? Kama kufunga basi tufungiwe wote sio wenye nchi tufungiwe na wageni waendelee kuwinda
 
Back
Top Bottom