Recent content by Mbukwa2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania NMB Salary Advance acheni wizi

    Soma vigezo na Masharti kwanza...kupotosha umma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    NMB wako poa sana wale jamaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Benard Membe shujaa, Karibu Yusuf Manji Uraiani

    Upukeni kulisha watu maneno
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    Kwa pamoja tuungane kupinga matusi dhidi ya rais wa nchi...matusi ya nguoni dhidi ya rais wetu ni matusi kwa watanzania wote.tujenge hoja tueche matusi yule ni mtu mzima tusimtukane hasa kule kwa yule dada mwenye laana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    Hivi unawezaje kuwa mtu mwenye akili timamu na kulalama siku zote maishani kwako...ndio shida watu wa aina hii kuhisi wana akili kuliko wengine.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

    Acha kupotosha umma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kwa hili naona umezidisha hivyo litafakari na ujirekebishe kwani hujachelewa

    Acha majungu tafuta cha kuongelea humu mweche Director anajua anachofanya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kweli naamini rais anachuki na watu na taasisi, hili kwa mabenki kakosea, hana data

    Acha lugha ya mzaha na maudhi dhidi ya Mh.Rais,tumia rugha nzuri
  9. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Simu ya Rais Mstaafu, Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa

    Huyu Mbunge yuko soo creative pale jimboni anajali sana maendeleo ya jimboni kwake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Kuendelea kuichafua familia ya mstaafu Rais wa awamu ya Nne ni chuki na fitna dhidi yao,wangapi mna ushahidi kama mmoja kati ya family member anahusika na haya mnayoyasema,huyu ni mmoja kati ya wabunge wabunifu sana jimboni kwake acheni kurudisha nyuma jitihada zake za kuleta mafanikio jimboni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kuchukua fomu ya Urais, Dr Mwakyembe atishia kuifuta TLS

    Hakika matusi dhidi ya mh.rais ni matusi dhidi ya watanzania wote please acha matusi kama unatoa maoni tumia lugha nzuri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Hongera sana Mbunge wa jimbo la Chalinze.mh Ridhiwan Kikwete,kwa kujali wananchi wako kwa kutekeleza ahadi kwa vitendo.hakika kumbe ukimya wako umeulekeza kwenye kupiga kazi kwa vitendo hongera sana,hakika tanzania nzima ingepata watu wa kariba hiyo ingepaa maradufu.hongera sana kwa kazi nzuri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    Uzushi tumeshazoe kusikia uzushi dhidi ya haya majina
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    Ni vema mkaacha uzushi juu ya watoto wa viongozi.baba kuwa kiongozi haimuondolei haki mtoto kuwa na uwezo wa kifedha.asubuhi saa hizi tafuteni pesa acheni kuwa wazushi na wafitini.
Back
Top Bottom