Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amepita kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuongelea ishu mbalimbali ikiwemo simu aliyopigiwa na Baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete baada ya kuona ile picha aliyopiga na Edward Lowassa uwanja wa taifa Dar es salaam kwenye mechi ya Yanga vs Simba.