Hebu tuache unafiki, kila mtu ana sauti, hata diamond pia anasauti nzuri, na anajua pia kupangilia sauti, kuwa na sauti nzuri au mbaya ni kitu kimoja, kuweza kuitumia hiyo sauti ikutoe ni kitu kingine, diamond anafanya mziki kimataifa, na hata yeye pia anajiweka kisanii zaidi, alikiba, akubali...