Hisa za Vodacom zimeanza kuuzwa leo tarehe 15/8/2017

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,835
34,361
Hii ni kwa wale wadau wa hisa za Vodacom ambao kwa muda kidogo walikumbwa na sintofahamu kuhusu hatma ya hisa zao.

Ni kwamba leo Vodacom wameanza kuuza hisa zao soko la hisa la Dar es Salaam (DSE)

Tukio la kuanza kuuzwa kwa hisa hizo lilikuwa officiated na Waziri wa Fedha Bw. Mpango.

Kwa wale tulionunua hisa hizo mi naona wameanza vizuri kwani hisa moja leo imeuzwa kwa TZS 900. Kwenye IPO hisa moja iliuzwa 850.

Kwa wale wanaotaka kununua huu ni wakati muafaka wa kusoma upepo wa soko na kufanya maamuzi sahihi.

Vodacom opens first day of trading at Sh900 per share
 
Mkuu Kinyungu, tatizo ni kwamba hata certificate zetu kuonyesha share tulizonunua bado hatujapata! Bado kuna mashaka na ujanja ujanja kwa upande wa Vodacom.
 
.....Kwa wale tulionunua hisa hizo mi naona wameanza vizuri kwani hisa moja leo imeuzwa kwa TZS 900. Kwenye IPO hisa moja iliuzwa 850. Kwa wale wanaotaka kununua huu ni wakati muafaka wa kusoma upepo wa soko na kufanya maamuzi sahihi.....Vodacom opens first day of trading at Sh900 per share
Mie naona bado upepo hausomeki, maana zimeuzwa hisa 1,700 tu kwa shs.900 kila moja. Pesa iliyotembea hapo ni shs.1,530,000 tu....wakati 'listed shares' ni nyingi mno ukilinganisha na shares hizi 1,700!
 
Labda ndio idadi ya hisa zilizopo sokoni , maana hata certificate watu wengi hawajapata hivyo inakuwa ngumu hata kuziuza
 
Mkuu Kinyungu, tatizo ni kwamba hata certificate zetu kuonyesha share tulizonunua bado hatujapata! Bado kuna mashaka na ujanja ujanja kwa upande wa Vodacom.
Walisema wangeanza kutoa leo kwa mujibu wa taarifa yao kwenye website yao. Tuwe na subira labda mambo yatakuwa mazuri
 
labda ndio idadi ya hisa zilizopo sokoni , maana hata certificate watu wengi hawajapata hivyo inakuwa ngumu hata kuziuza
Yah nadhani kukosekana kwa certificate pia ni tatizo linalochangia watu kushindwa kuuza. Maana utauzaje kama hauna certificate?
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
wakuu certificate MTU unaweza kwenda kuchukua DSE. Maana naona watupotezea muda
 
Ndugu Mwana hisa, Tunapenda kukuarifu kuwa cheti chako cha hisa kiko tayari,fika ofisini kwetu hapa Millenium Tower Makumbusho ukiwa na kopi ya kitambulisho chako ili kuchukua cheti chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie naona bado upepo hausomeki, maana zimeuzwa hisa 1,700 tu kwa shs.900 kila moja. Pesa iliyotembea hapo ni shs.1,530,000 tu....wakati 'listed shares' ni nyingi mno ukilinganisha na shares hizi 1,700!

Rapture Man , Jibu kuhusu idadi ya hisa zilizouzwa unaweza kupata kwenye article hii:
Tanzania: Vodacom Tanzania IPO Fully Subscribed

Telecommunication company Vodacom Tanzania has said that its initial public offering (IPO) has been fully subscribed.

The South Africa's Vodacom unit said it has raised its targeted $213 million (Tsh476m), with 60 per cent of Tanzanians taking up the offer and foreign investors buying 40 per cent.

The largest telco in Tanzania has since March this year struggled to sell all the 560 million shares on offer, forcing it to extend the deadline of the sale twice and open the IPO to foreign investors.

Vodacom floated a total of 560,000,100 ordinary shares, a 25 per cent stake in the company, trading at Tsh850 ($0.4) on March 9.

"Vodacom Tanzania is delighted that the IPO has hit the target of Tsh476,000,085 ($213 million)," the firm said in a statement, adding that: "It has attracted more than 40,000 Tanzanian investors, most of whom are first time participants in the capital markets."

**** Lakini leo tarehe 03.09.17 bei imeshuka kutoka shs 900/- (bei ya mwanzo) mpaka shs 770/- !
Ila mlionunua msi-panic. The market is correcting itself!*******
 
Mkuu Kinyungu, tatizo ni kwamba hata certificate zetu kuonyesha share tulizonunua bado hatujapata! Bado kuna mashaka na ujanja ujanja kwa upande wa Vodacom.
Ulinunua Kwa njia gani kiongozi? Kama Kwa njia ya simu fika pale kijitonyama ofisi za Maxcom floor ya kwanza utapata, ila beba na kitambulisho chako, kama ulinunia bank, fika sehemu uliponunulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom