Recent content by mbota

  1. mbota

    JamiiForums Tanzania Electrical supplies in Tanzania

    Waya ya tronic 1.5 na 2.5 single unauzaje
  2. mbota

    JamiiForums Tanzania Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

    Ushauri wangu kwenu tengeneza vyanzo zaidi ya vitatu vya fedha vinavyoweza kukuingiZia angalau 1000,000 kila mwezi hutojenga au kusomesha kwa stress. Period
  3. mbota

    JamiiForums Tanzania Anjela Kizigha ni nani, Kwanini pamoja na lundo la kashfa bado anateuliwa Ubunge?

    Unfortunately! It’s going to happen
  4. mbota

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme, Kariakoo

    Waya single unauzaje 2.5 na 1.5 kampuni gani unayo hizi waya
  5. mbota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa Halotel mboni Mtandao mzito hivi?

    Pole sana mimi nimeachana nao kabisa kwanini ujipe stress kwa kitu kinacho epukika
  6. mbota

    JamiiForums Tanzania Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    Elon musk anasema Whoever said “money can’t buy happiness” really knew what they were talking about 😔 Japo unaweza ichukulia kama meme💯
  7. mbota

    JamiiForums Tanzania Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    THE TURTLE THEORY: Slow is smooth. Smooth is fast. The turtle wins because it moves consistently, protects its energy, and never quits. No rush. No panic. No burnout. Just steady progress, every single day. 💎 Rule: Speed impresses people. Consistency changes lives.
  8. mbota

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemwambia Mathayo kuhusu tukio hili Yesu au Shetani?

    Haya maandiko yanatokea kwa Zaburi hivyo shetani alikoti tu kutokea kwenye zaburi. Alikuwa anafanya reference mkuu “Kwa kuwa atawaagiza malaika wake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote. Watakuchukua mikononi mwao, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.” ‭‭Zaburi‬ ‭91‬:‭11‬-‭12‬ ‭NEN‬‬
  9. mbota

    JamiiForums Tanzania Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    Kabisa dunia haitakuwa na huruma mfano kama umefuatilia ishu ya Jaffrey Epstein nadhani utaelewe na kwanza mfumo wa dunia hauwahitaji watu kama hao wenye huruma nilishangaa sana kusoma post mahala kuwa utajiri mkubwa upo kwenye umaskini yani kuwa tu maskini wa kifkra unaopelekea umaskini halisi...
  10. mbota

    JamiiForums Tanzania Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    Hapa ndio point ilipo dada mkubwa kuishi maisha ya shukrani kila siku kuamka tu asubuhi ni utajiri mkubwa sema wengi tumeji condition utajiri kwenye material things only kumbe utajiri ni kuwa na upendo, afya njema. Chukulia mfano wa kina chaba wahazabe fedha kwao si kigezo cha furaha yao Trump...
  11. mbota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimehesabu mpaka sasa zaidi ya wanawake 150. Sijui hata nisemeje

    Sex ni spiritual energy exchange kama nilivyosema hapo juu sasa kuna good energy na bad energy kama unajua kujitakasa before and after sex good and well
  12. mbota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimehesabu mpaka sasa zaidi ya wanawake 150. Sijui hata nisemeje

    spiritually ni hatari sana Sex means spiritual exchange kati yako na hao wanawake inamaana kama umepiga mihuri 50 humo humo kuna mibalaa mikosi yakutosha You’re drifting bro
  13. mbota

    JamiiForums Tanzania Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

    Nipo hapa namsubiri
  14. mbota

    JamiiForums Tanzania Wa KKKT wengi wana kinyongo na Malasusa wanatamani kuhamia RC

    Mimi rasmi sitajihusisha na mchango wowote KKKT
Back
Top Bottom