Recent content by mbongowakweli

  1. mbongowakweli

    Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    TADB, SELF, MWIGULU, etc etc. Zote kamba tu. Jaribu ku apply uone mlolongo, ucheleweshaji wa maombi, upotezaji muda, kujivuta vuta kwao, ubabaishaji, kutokuwajibika, uzembe na ufanyaji kazi wa mazoea ulivyokithiri! HAMNA LOLOTE.
  2. mbongowakweli

    Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    Waziri Mwigulu asema ‘Wajasiriamali kuna Bilioni 48 mtakopeshwa’ Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, kwa mwaka 2024, Mfuko wa Huduma Ndogo za Fedha – SELF unatarajia kutoa mikopo yenye masharti nafuu ya shilingi bilioni 48 kwa Wajasiriamali 48,000. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato...
  3. mbongowakweli

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa mvua kunyesha... Kwa mvua kuacha kunyesha... Kwa kusaidia miradi na kutoa hela zake mfukoni kutekeleza hii miradi ambayo MKAPA, JK JPM walishindwa... Kwa kusafiri sana nje nchi kuliko rais yeyote yule aliyepita... Kwa kuwakaribisha tena WAARABU kwenye sekta nyeti nchni... Kuhakikisha watoto...
  4. mbongowakweli

    Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    miundombinu mibovu, ripoti ya CAG inatisha, bajeti kujikita zaidi kwenye matumizi ya kawaida, kupeleka nguvu nyingi kwenye siasa za chama tawala na kusahau majukumu yao serikalini! Tutawaadabisha lini hawa waelewe serikali ni yetu raia na siyo yao?! TUAMKE RAIA HAWANA UPENDO NASI WALA NCHI HAWA...
  5. mbongowakweli

    What's your problems guys? Money or Women?

    Hiyo ni salamu wanaume tunapokutana, hasa pub, cafe au kwenye jumuiko lolote. Haya semeni kati ya hayo mawili, lipi linawasumbuwa?
  6. mbongowakweli

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Simple. Kimbia kabla haujapata majanga aidha kujiua, kupata matatizo ya akili, ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa, kuchacha, kuharibu kazi, kuuwa ...... KIMBIA LEO LEO DOGO ... UTAKUFA...
  7. mbongowakweli

    Plot4Sale Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju 'B' Sokoni 80m/=

    Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=. Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo. Bunju Mzee Jaros 0754826668 0712168055
  8. mbongowakweli

    Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    Safi sana. Naongezea tu. Wale wanaotaka kufanya hizi kazi wasidhani ni lelemama. Hakuna kitu rahisi. Yabidi ujuwe ku operate hiyo laptop au pc kwa spidi kidogo. Malipo yaweza kuwa kidogo kidogo kama vile wadunduliza. Nami natuma link...
  9. mbongowakweli

    Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

    Nakubaliana nawe 110%. Huku mjini wanajifanya hawana muda. Wakuta mtu anakimbiza upepo wakati boma yake imejaa majani ndago na si ajabu hata ka bustani hana! Wao wanaona heri wamuajiri mtu afanye shughuli za nje ya nyumba na ndani. Hata kuosha magari yao ni shida. Hata ukiwashauri hizo shughuli...
  10. mbongowakweli

    Marekani ni kinara wa utakatishaji pesa, Jinsi wala rushwa wanavyoharibu demokrasia

    https://www7.putlockertv.to/watch/american-greed-1.52q00
  11. mbongowakweli

    Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

    Swali tatanishi sana, ni kama jirani yangu BunjuB, ana bonge la ghorofa huku na lingine Znz, mke yupo Dom Mme Znz, mtoto mmoja na keshaondoka home anajitegemea... Wana Hayo magari na nini... Nafikiri swala ni choice na uwezo, I am not the one to judge matumizi ya mtu aliyejitafutia mwenyewe na...
  12. mbongowakweli

    Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

    Ndio faida za kula mboga za majani na matunda kwa wingi, kuepuka njaa, pombe na masigara... Happy Bday Baba T... A true legend
Back
Top Bottom