Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

Kuna wale wanaofanya kazi kwenye viwanda vya Cement pale anapokuja mteja au wateja na malori yao. Jamaa kazi yao ni kupokea cement kutoka kwenye Conveyor belt na kui pack kwenye malori.
Dah wajamaa wanavifua sijawahi ona aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa naunga mko hoja miezi sita nilipo weka kambi shambani kitambi kwisha kabisa nikawa mtu wa six pack kama unabisha shika jembe ndani ya miezi miwili tu uone ndio maana watu wa mikoani wana muonekano mzuri wenye afya kuliko watu wa dsm coz wao kazi ni kukata mayenu (viuno) nakula chips mayai bila kazi
Labda hao wachache angalau wanao kimbiza upepo huku akiwa na stress kibao kua atakula nn baada ya hapo
Mimi baada ya kuvuna naona body nzuri utajiri nimeupata kutokana na nguvu yangu na mwaka huu lazima mle sana mchele wangu kazi ya kuinama kuinuka mara beba hiki jembe jembe
Kiufupi sina njaa wala stress niliachaga kutumia maguvu mengi kunyanyua machima sijui kukimbiza upepo wakati uchumi wetu ni ovyoo
Wenzetu wao wanakila kitu
Angalia wachina katika kazi za kila siku ndio amapo tengeneza formila ya marshal art
Usidanganye watu kilimo cha katu hakiwezi kumfanya mtu awe tajiri. Utalima hata miaka mia,badala yake ndio utazidi kuwa masikini zaidi. Kilimo lazima uwe na mtaji. Hao watu wa mikoani wanaolima kilimo cha mkono wanaweza kuepukana na kitambi tu,lakini awe masikini milele,pili atabaki hana kitambi lakini ukiwaringanisha na wa rika lake anaefanya mazoezi wa town,yule wa kijijini atakuwa amekomaa kwenda kuzeeka. Yaani amezeeka zaidi ya yule mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada acha kuwa kichekesho yaani kwa dunia ya sasa yenye teknolojia ya kutosha unataka watu washike majembe alafu watoke malengelenge alafu washindwe kufanya shughuli zao kwa ufanisi
 
Kuna wale wanaofanya kazi kwenye viwanda vya Cement pale anapokuja mteja au wateja na malori yao. Jamaa kazi yao ni kupokea cement kutoka kwenye Conveyor belt na kui pack kwenye malori.
Dah wajamaa wanavifua sijawahi ona aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika umefikiri au umefata mkumbuko, unajua Process ya kifua kujaa hata ubebe mizigo kama tembeo mpaka anazeeka hupati kifua, mbona munapenda kulinganisha mazoezi na mambo yaajabu tulitendee haki jina la Great thinker basi.
 
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo MTU yeyote akiamua kwenda akalime,chakula kipelekwe kwenye ghara la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima,inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza Lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku liliniijia wazo kama lako, na nilifikilia pia huko watu wanapoenda kupoteza nguvu (Gym) ni bora mashine hizo zingetengenezwa kitaalamu ili angalau machanical energy hizo zinge convertiwa kuwa electrial energy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye watu kilimo cha mkono katu hakiwezi kumfanya mtu awe tajiri. Utalima hata miaka mia,badala yake ndio utazidi kuwa masikini zaidi. Kilimo lazima uwe na mtaji.

Hao watu wa mikoani wanaolima kilimo cha mkono wanaweza kuepukana na kitambi tu,lakini awe masikini milele,pili atabaki hana kitambi lakini ukiwaringanisha na wa rika lake anaefanya mazoezi wa town,yule wa kijijini atakuwa amekomaa kwenda kuzeeka. Yaani amezeeka zaidi ya yule mjini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo MKUU UMERIDHIKA NA SHAPE YA MWILI WAKO KAMA KOROSHO?MAZOEZI ni Kujenga mwili...na kuwa na AFYA BORA...
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo MTU yeyote akiamua kwenda akalime,chakula kipelekwe kwenye ghara la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima,inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza Lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo MTU yeyote akiamua kwenda akalime,chakula kipelekwe kwenye ghara la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima,inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza Lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app
How old are you?
 
Kuna mambo wanaoandika watu utadhani huyu mtu kakatika kichwa yaani JF yasikuizi tuwe tunaReason kabla ya kuandika.
 
Kweli kabisa naunga mko hoja miezi sita nilipo weka kambi shambani kitambi kwisha kabisa nikawa mtu wa six pack kama unabisha shika jembe ndani ya miezi miwili tu uone ndio maana watu wa mikoani wana muonekano mzuri wenye afya kuliko watu wa dsm coz wao kazi ni kukata mayenu (viuno) nakula chips mayai bila kazi
Labda hao wachache angalau wanao kimbiza upepo huku akiwa na stress kibao kua atakula nn baada ya hapo
Mimi baada ya kuvuna naona body nzuri utajiri nimeupata kutokana na nguvu yangu na mwaka huu lazima mle sana mchele wangu kazi ya kuinama kuinuka mara beba hiki jembe jembe
Kiufupi sina njaa wala stress niliachaga kutumia maguvu mengi kunyanyua machima sijui kukimbiza upepo wakati uchumi wetu ni ovyoo
Wenzetu wao wanakila kitu
Angalia wachina katika kazi za kila siku ndio amapo tengeneza formila ya marshal art
Weka picha mkuu acha maneno mengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh kwamba nidamke alfajiri badala ya kwenda gym au jogging niende shamba nikalime halafu nirudi home nijiandae kwenda kazini?
Walimishaji mtaona hilo ni jambo la ajabu ila kuuambia kule msu shika jembe kalime pale huoni ajabu😂😂
 
Nakubaliana nawe 110%. Huku mjini wanajifanya hawana muda. Wakuta mtu anakimbiza upepo wakati boma yake imejaa majani ndago na si ajabu hata ka bustani hana! Wao wanaona heri wamuajiri mtu afanye shughuli za nje ya nyumba na ndani. Hata kuosha magari yao ni shida. Hata ukiwashauri hizo shughuli weekend hawataki. Malezi na ulimbukeni tu.
Kwa kina mama ndiyo shida kabisa. Anatikisa mwili barabarani ili hali anaweza fua fagia piga deki pika na kufanya usafi bila kuajiri. Inasikitisha sana sana
 
Hii corona itakuwa imeingia vichwani sio bure!!
ugonjwa hatari huu....
people can't think
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom