Nina Toyota IST cc 1290 nataka kujua kama kuna madhara yoyote ya kwenda nayo masafa marefu mara kwa mara yaani kila baada ya miezi miwili ama mitatu. Asante
Sijui ni busara kumpangia mtu matumizi ya pesa zake,mhe zitto,mhe nyalandu ambaye amerudi kwa mara ya pili na wengine wengi wanaoenda huko kwa nini nao usiwajumuishe katika hili la kupunguza gharama na pesa zao zitumike kama mchango
Mshana hapa nina kitu cha kushare ambacho kilinitokea ila namshukuru Mungu nilipambana nacho nikakishinda. Nakumbuka kuna siku nililala ila nikagundua pumzi inaniishia nikaamka na ikawa kila nikitaka kusinzia naona naishiwa pumzi naamka nikapambana na hii hali hadi saa tisa usiku nilipoamua...
Huwa naumia sana pale ninapozungumza na marafiki zangu ambao ni walokole nikawataka wawafanye viongozi wa makanisa yao wawe countable kwa sadaka na zaka wanazotoa, huwa wepesi sana wa kukasirika wakidai hayo wanamwachia Mungu wanachoangalia wao ni kuwa maombi yao kwa kupitia hao viongozi wao...
nadhani hujamuelewa huyo ndugu, ni kweli kuwa dini na Mungu ni vitu viwili tofauti ila dini ni njia ambayo wanadamu tumejiwekea ya kumfikia huyo Mungu ingawa sio lazima sana kwani kuna watu wanawasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupitia dini
Ninahitaji betri ya HTC One Max kama kuna mtu anayo naomba aniinbox bei na jinsi ya kuipata pia aseme kama ni ya mtumba ama mpya na kama anaweza kuifunga kwenye simu yangu. Asanteni kwa msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.