McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,127
- 12,635
Umekosakeki ni 10
ndizi ni 1*2=2
saa ni 3
sasa chukuwa MAGAZIJUTO
3+1+(1×10)=
3+1+10=
4+10=
14 ans
NACTE njoeni msahihishe jibu langu
Upo Vizuri Mkuu, Hili Ndio Jibu Sahihi, Wengi Wamechemka
watu wengi wanajichanganya kati ya hisaabati ya darasani na ya chemsha bongo.......mwisho wa siku wanajikuta wamecontradict mamboUpo Vizuri Mkuu, Hili Ndio Jibu Sahihi, Wengi Wamechemka
Exactlywatu wengi wanajichanganya kati ya hisaabati ya darasani na ya chemsha bongo.......mwisho wa siku wanajikuta wamecontradict mambo
kumbe keki zina vidoti / vitobo ndaniUmekosa