Recent content by mbogodj

  1. mbogodj

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    Labda kama ameshindwa tofautisha riba na rushwa BT kama ni riba hiyo nikawaida na mkopo huwa kuna ada ya kuprocess .pia bank nyingi huwa hazitoi mikopo chini ya 1.5m hiyo nikazi ya Saccos. Take care rushwa ni adui wa khaki yako.
  2. mbogodj

    Bora kuwa tajiri kijijini kuliko masikini mini.

    Katika mitandao yakijamii nimeona moja ya video ambayo MTU kapata ajari cha ajabu ambacho Mimi nimehisi, watu waliokuna na opportunity yakumsaidia muhanga walikua wana record tukio. Leo kwake, kesho kwako. Tutafakari na tuchukue hatua.
  3. mbogodj

    Jaydee huu ni utoto sana tena sana

    team ladyjaydee# sidhani kama analo as longer hatujui kwa nini wameachana let's support kile anachofanya .kwa wale wapenzi wa outing nenda kapate lunch, dinner MOG
  4. mbogodj

    Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

    Hakuna MTU aliyemkataza kuipenda ipende
  5. mbogodj

    Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

    Unfortunate si mshabiki wa vyama au siasa lakini mshabiki wa +ve idea ya MTU yeyote wa wing yoyote as long haina -ve impact kwangu nakwajamii kwa ujumla.
  6. mbogodj

    Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

    Unahisi nafanya kazi gani kati ya hizo
  7. mbogodj

    Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

    Siamini kama kweli mnaweza kuwa mti mwema maana nahidi siku zinavyokwenda uzandiki unazidi .itafikia hatua media itafuatiliwa na watu wa maeneo Fulani tuu hasa wanaoendekeza mambo kama yenu. Tubadilike. Unafiki , kugombanisha watu sio poa jamani.
  8. mbogodj

    Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

    By ze way media media ndio sababu kiba hana kosa kama kaitwa kwenye media hawezi kataa au hawezi jichagulia maswali, kutompenda MTU kiafrica ni nature tuu nadhani hata wewe kuna watu huwapendi na hauna sababu. Cha msingi hapo Diamond kawa icon yetu Tumsuport atuwakilishe zaidi .nampenda Kiba kwa...
  9. mbogodj

    msaada simu yangu huawei_y300 inakata mawasiliano kila mala

    Kwa urahisi kama umechukua tigo na upo dar es salaam nenda science nyuma ya jengo LA science kuna office za rotasi Africa wanahusika na simu za huawei za tigo .huduma ni free ukifika piga no. 0653789006 utasaidiwa hapo
  10. mbogodj

    Mfungo umeisha mema tuyaendeleze

    Mstaarabu wa kweli hasubiri mwezi mtakatifu/ mwezi wa mfungo kufanya yaliyo mema machoni kwa watu. My take tuachane na utaratibu wa vurugi fujo zisizo za maana wakati wakufungua na baada ya kufungua. Si ajabu kuona MTU kesho kaamkia bar ,guest kisa alikua mfungo na kafungua .tunakua hatujafanya...
  11. mbogodj

    Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

    Mbona hizi sikukuu za wenzetu hazieleweki?
  12. mbogodj

    Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

    Jakaya jakaya kikwete sikutegemea kama Leo Hi atakua kiongozi wangu
  13. mbogodj

    Nape Nnauye: Dkt. Slaa ni mzushi na anazeeka vibaya!

    Wanasiasa wanatafuta nguvu ya pamoja baada ya hapo tutegemee malumbano Kati ya chademu na cuf maana siasa za kibongo zimetawaliwa na uroho wa madaraka. Hakuna mwema hapo
  14. mbogodj

    Shule ya msingi Shoga Chunya Tanzania

    Google tumeanza ijua miaka ya hapa karibuni mkuu
Back
Top Bottom