Algerian airline loses contact with plane carrying 110 passengers

Algerian airline loses contact with plane carrying 110 passengers

Nnimeisha apa kuwa kamwe sitapanda ndege yoyote inayomilikiwa na waarabu au yenye rubani muarabu/msomali[/Q
Yaelekea wazi hujui kitu,Emirates inamilikiwa na waarabu managements yake ni mchanganyiko na wazungu,hivyohivyo kwa Etihad Airways,Qatar Airlines...
 
Ugonjwa wa malaria ndio unaoua watu kwa wingi duniani ukifuatiwa na ugonjwa wa uislam na ukimwi.
 
Ni kawaida yake,
Paka zifike 5 ndio mambo yatakaa sawa
 
itabidi nipate course ya kupaa na ungo,hamna usafiri salama sasa

huo ungo wenyewe ukiwa unasafiri ukifumbua macho kabla hujafika unaanguka uraiani fasta aibuje
 
huo ungo wenyewe ukiwa unasafiri ukifumbua macho kabla hujafika unaanguka uraiani fasta aibuje

hahahahahahaa sifumbui macho hadi nifike,ndio zile za kutua juu ya paa la nyumba eeeh?
 
Emirate, Qatar, Egypt Air, Air Jordan,.........! Labda ukodishe ile ya Nkapa, maana tulikula nyasi ndo ikanunuliwa. otherwise huna jeuri hiyo ! King of Zamunda

Kwa hiyo ndege ndio hizo hizo?

BA, KLM, Swiss, KQ,Ethiopia , Air France, Lufthansa .....

Hizo za hao waarabu kamwe sitapanda na sio Mimi tu, Watu wengi wanaziogopa
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo ndege ndio hizo hizo?

BA, KLM, Swiss, KQ,Ethiopia , Air France, Lufthansa .....

Hizo za hao waarabu kamwe sitapanda na sio Mimi tu, Watu wengi wanaziogopa

we mburula tu huna lolote hata baiskeli uliyopanda ulipewa lift sembuse ndege?
 
Hii ndege imedondoka kaskazini mwa Mali na Rais wa Mali ametangaza wameon mabaki yake tayari...abiria 116
 
Back
Top Bottom