NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

Weeee Wewewewe, vijamaa vya kariakoo vinaomba rushwa balaa, niliwahi kuvishitakia kwa meneja wao mwanamke akasema atawaonya baadaye file likatupwa nje, NMB Riba yao mkombozi lakini kupata mkopo bila rushwa bora ukalale utupu barabarani. lakini siku hizi vi-benki vyote viko hivyo kasoro ACB ndio wamekomesha, kuna Advance, ACCES Lumumba hawa balaa, matangazomengi lakini rushwa wako mbele, ukichukua mkopo wanatoka nje kukuwinda pale Riki hotel, alafu wanajifanya mkurugenzi anataka maji ya kunywa , kikawauliza kiasi gani eti laki mbili nikawapa 150,000 kwa kupata 1,500,000.00 mwezi uliofuata nikachelewesha siku moja makusudi, simu zilipigwa kama mvua.
Yule mama meneja pale amefariki ghafla alikuwa mtu safi.
 
Wewe ni muongo hakuna benki inatoa mkopo wa laki tano mpkaka milioni moja, tena eti umeweka hati a nyumba unajua gharama za kusajili hati ya nyumba ili ichukuliwe na bank we ni punga, utakuwa ulienda saccos ya wanyiha wenzio huko mbozi,
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujidhalilisha.
 
Hili nilijaribu kwenda kwa Loan Manager ofisi yake inatazamana na ofisi ya huyu dada Elice. Nilipo mwambia suala la kuchelewa kujibiwa maombi yangu ya mkopo ili hali wana Hati yangu ya Nyumba! Alisema nirudi kwa Officer wangu.
Manager niliyemkuta ni mzee mweusi hivi ana lafudhi ya kinyakyusa.

Nkhamu ungeongea nae kinyumbani.
 
mkopo wa milioni moja, mkopo wa laki tano unaenda bank ya NmB, duh, watanzania wana shidaaaaa, hiyo hela si ungekopa hata kwa rafiki yako tu jamani. pengine nmb wameona ni hasara, mikopo midogo hiyo hawawezi kukuthamini kwasababu una faida kidogo sana kwao ndio maana unaona kama wanakuonea. nenda saccos au upatu wa mtaani huko au weka hela kwenye kibubu, laki tano haustahili kwenda kukopa bank. tuache utani jamani. hata milioni moja au mbili unaenda bank? hizo hata waendesha bodaboda wanazo majumbani mwao, kwanini mnapenda kunia madogo kiasi hicho, think big, act big....alaaa.

Are you serious?? i think you are kidding! masikini akipata utamjua tu kwa kujisikia kama hivi.
 
kwenda bank Kwa nchi hii ni ujinga. tenant Kwa hela ndgo. 5mil kushuka do not borrow. na usikoppe Kwa kusolve Shida ya Biashar kopa Kwa ssbb maalum.
tumia muda wa kutosha kujitafakar na fikir juu ya riba riba riba.
 
kwenda bank Kwa nchi hii ni ujinga. tenant Kwa hela ndgo. 5mil kushuka do not borrow. na usikoppe Kwa kusolve Shida ya Biashar kopa Kwa ssbb maalum.
tumia muda wa kutosha kujitafakar na fikir juu ya riba riba riba.

Nyie wanafunzi wa siku hizi walimu wenu wamepiga madesa hawawafundishi ipasavyo...

Kesho ukienda darasani muulize mwalim wako kitu kinaitwa WORKING CAPITAL, then utaelewa kwa nini watu wanakopa hata kama biashara ipo na inaendelea. Masomo mema nyanda/ mwanike.
 
Yule mama meneja pale amefariki ghafla alikuwa mtu safi.

Maskini huyu mama, kweli wema hawadumu, yule alikuwa mkarimu sana nilimweleza ninavyoyumbishwa na maafisa , maafisa wanadidai wako bize kufatilia Uhalali wa hati wanadai NMB wako wachache kazi zinawazidi ukienda benk nyingine maafisa mikopo idara moja wako kama 15 lanin NMB wawili hii ndio chanzo cha rushwa.
 
Jamaa yangu amejenga bonge la jumba Dom ndani ya miaka 2. Yuko idara ya mikopo wilayani. Hapa ninapata uhusiano wa idara hii na rushwa.kwa mshahara gani??
 
Nmb karibia wote, mimi niliwahi omba laki tano bado wakaomba chochote, na wana kawaida ya kugomea, kuchelewa kutoa mkopo hadi uwape chochote. Wapo wanaoshirikiana na meneja wao, na pia meneja wengi wana kawaida ya kuficha uchafu unaofanywa na hawa vijana kuogopa kuchafua jina la benki. Ushahidi ninao, jina la meneja ninalo, jiba la loan ofiicer ninalo, jina la teller mwizi ninalo, jina la anayetangaza salio la wateja baa ninalo ila sina pa kulisemea, wote ni ndugu moja. Jirekebisheni, ushindani upo. Haiwezekani mimi naenda bar naambuwa na baameid salio langu halisi. Vijana wa siku hizi sijui tunaenda wapi.


lack of ethics, confidentiality on client's financial records is very crucial....sijui nimepatia kimombo, anyhow just kukopi na kupesti...mada mtambuka kwa mkopaji, mteja wa kawaida na mtumishi wa benki kipenzi chake mchepuko mhudumu, aka baameidi
 
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujidhalilisha.

haipo benki ya biashara tena kubwa kama nmb itoe mkopo wa laki tano kwa dhamana ya nyumba laki tano ni petty amount ina fall kwenye consumer loans na hizi normally huwa ni unsecured.
huenda ikawa hivyo kwa standard ya ile ibanking yenu.
 
Labda kama ameshindwa tofautisha riba na rushwa BT kama ni riba hiyo nikawaida na mkopo huwa kuna ada ya kuprocess .pia bank nyingi huwa hazitoi mikopo chini ya 1.5m hiyo nikazi ya Saccos. Take care rushwa ni adui wa khaki yako.
 
Ukitaka kula lazima uliwe,,,mwenzako wanachukua mikopo bizness zinaenda wanajenga wanadrive we unakuja kulalamika umeombwa laki 2 3 komaa no body care nchi hii ka mkeo alikuwa ana vigezo kwann aende nmb kuomba mkopo???haupo tayari kutoa rushwa nmb ila tra ulikuwa tayari????
 
mkopo wa milioni moja, mkopo wa laki tano unaenda bank ya NmB, duh, watanzania wana shidaaaaa, hiyo hela si ungekopa hata kwa rafiki yako tu jamani. pengine nmb wameona ni hasara, mikopo midogo hiyo hawawezi kukuthamini kwasababu una faida kidogo sana kwao ndio maana unaona kama wanakuonea. nenda saccos au upatu wa mtaani huko au weka hela kwenye kibubu, laki tano haustahili kwenda kukopa bank. tuache utani jamani. hata milioni moja au mbili unaenda bank? hizo hata waendesha bodaboda wanazo majumbani mwao, kwanini mnapenda kunia madogo kiasi hicho, think big, act big....alaaa.

Kidogo kwako kikubwa kwa wenzio,nadhani hauyajui vizuri maisha ya watanzania tulio wengi.

Salamu zao uzunguni uishipo.
 
Sasa usijelogwa kuomba mkopo EFC!Utabembelezwa kufungua account kwao na utaonekana ni wa thaman.Gharama za kuomba na kupata mkopo hujulishwi,utaanza kukamuliwa hatua kwa hatua.Mkopo utaambiwa unapatikana wiki 2 lakin miezi 2 tena baada ya kukopa michache.Uongozi wa juu (wazungu) wanategemea taarifa toka kwa viongozi weusi ambao wako ktk mtandao wa rushwa.hivyo hawapewi taarifa sahihi.Zaidi hao wazungu wanatoka na hao weusi(watendaji wa juu pale wote wanawake).
EBU JARIBU KUOMBA MKOPO PALE,
 
Back
Top Bottom