Recent content by mbogelakin

  1. mbogelakin

    VAT kwenye huduma za mabenki, serikali imeridhia mzigo huo tuubebe wananchi?

    Jambo hilo lilishatolewa ufafanuzi mda mrefu na gavana alisema hii kodi italipwa na mtumiaji Wa mwisho Wa Huduma za kibenki na sio benki husika...benk zote zilishaanza utekelezaji mapema sana ,huenda hao stanbic walikua wanausoma mchezo kwanza...lkn tunaumia sisi wananchi Wa kawaida na sioni...
  2. mbogelakin

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole sana Leah.. Swala lililopo hapo ni kuangalia pia kua je mumeo anaonekana kujutia kitendo alichofanya au laa..maana unaweza msamehe lkn bado still akaendelea kua na mahusiano na mdogo wako na lkn pia unaweza kumuacha mumeo ili umpe room mdogo wako Wa kuvinjari lkn pia akaachwa..coz nafsi...
  3. mbogelakin

    Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

    Ndo Yale Yale ya nyerere aliesema ukizoea kula nyama ya mtu hutaacha..sasa ndo yaliyopo sasa kumwacha unatamani Ila roho inakusuta
  4. mbogelakin

    Hataki kutumia kondom kabisa,anasema mafuta yake yana athari kwa wanawake

    Kapime nae uendelee kugegeda mkuu kavu ndo safi
  5. mbogelakin

    Mchumba wangu ameamua tuachane

    Ulikua unabeep amekupigia sasa.... Huku vyuon kuna mambo ya ajabu Sana ....hawa wanawake Cjui nani aliwaloga
  6. mbogelakin

    Masikini Mama Malecela huyo ndio Magufuli

    Hata warning hakuna ??? Huyu Mzee hata watumishi wake hawaamini anawaundia tume za chinichini
  7. mbogelakin

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Yan hapa ndo pa kusoma alama za nyakati kwetu wengine... Ukikuta hamuelewani na boss wako jitumbue mwenyewe usisubir kufedheheshwa
  8. mbogelakin

    Mtandao wa Badoo

    Unaenda kufanya nn huko... C u unistall hiyo application. We ndo umeyatafuta hayo majanga
  9. mbogelakin

    Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

    Wameanza kushikana uchawi... Jipu hilo limejitaja lenyewe...kazi kwako JPM
  10. mbogelakin

    Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Inaonekana mmetumwa.. Na hiyo kazi mnaifanya kwa ufanisi mkubwa... Hakuna hoja hapo maneno mengi hakuna point
  11. mbogelakin

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino: Nilichangia Dola laki 3 kwa ajili ya maendeleo ya Bumbuli

    Janja janja hua zinafikaga mwisho... Mda ndo ushafika ...kutumbuliwa sefue yeye aponee wapi...kalikoroga acha Alinywe
  12. mbogelakin

    Tundu Lissu: Wenje asiposhinda kesi ya matokeo, najiuzulu ubunge

    Mwanasheria kashausoma upepo unakoelekea kisheria ndo mana kaongea vile...lissu hua halopoki tu anaongea kwa hoja sana yan
  13. mbogelakin

    Tuhuma za Udini dhidi ya Dr. Ramadhani Dau wa NSSF, Ukweli ni upi?

    Kuna lililojificha nyuma ya pazia hapo
  14. mbogelakin

    Tukio la kutisha Mwanza mjini, usiku wa manane

    Haaaaaa haaaaa hivi hizi habari za kusadikika bado zipo tu?
Back
Top Bottom