Nemo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2011
- 751
- 1,332
Just cause I have a few seconds to waste................. #Bishpleasegetalife 🙄!!!!!!!!Mada umeisoma kwa kiswahili kuchangia unaleta mambo ya Shilole mazafak
Just cause I have a few seconds to waste................. #Bishpleasegetalife 🙄!!!!!!!!Mada umeisoma kwa kiswahili kuchangia unaleta mambo ya Shilole mazafak
Amemwambia mkewe ili mkewe asisumbue
polygamy in Africa is still much alive...
i miss you...
Mwenzio ameongea kiswahili wewe unaandika kizungu ndiyo tujue msomi sana auDuh! First try and figure out lengo lake la kumwambia mkewe. Is it because he plans to officially leave her for you or was it in hopes that you and the missus can come to terms with the situation and live in harmony moving forward? If it's the former, and you do love or still want to be with him then I'll say go for it! Though at this point for me ingekua shida kumuamini. 4+ years of keeping such a crazy secret...........It seems like he wants to have his cake and eat it too.
Una uwezo wa kununua viwanja[emoji15] [emoji15]Ushauri wangu kaa pembeni waache wanandoa walee ndoa yao. Ukifanya tu hilo halafu ni PM namba yako kwa maelezo zaidi na ushauri
umemaliza kila kitu hapo.Unataka mtu ambaye hajaoa na huku hutaki kuolewa sasa akitaka kuoa inabidi akuache nawe utafute mwingine utakuwa katika hali hiyo hadi lini.........fanya maamuzi kuolewa au kuwa mchepuko
na pale jamaa aliacha simu kimakusudi ili ke wake asikie maongezi,ula kama jamaa ni muslim amuoe mke wa 2Sijawahi kuona watu wanao pendana kama ninyi.
Ama kwa hakika mshikilie huyo jamaa, na usiogope wala usiwaze kuhusu mkewe, saaaana jihesabu kama mkewe wa pili na jitahidi uzoee hivyo.
Nikiunganisha maelezo yako yooote naona kabisa jamaa anakupenda kwa dhati, sema inawezekana alijikuta ameoa mke ambae badae aligundua hampendi na pengine ipo shida kwenye ndoa yake, na kwakua umesema kwamba ni mtu wa kupenda maisha ya usiri basi inawezekana aliamua tu kuishi na mkewe na asiyaseme matatizo yao nje kwa kupenda kutunza usiri.
Kimtazamo jamaa anakupenda kuliko anavyo mpenda mkewe.
Nawewe nikiyasona maandishi yako, naona yamejawa narangi ya mihemko ya wivu na donge la jakamoyo....[emoji12] [emoji12]
Ebu tulizana mama ufanye maisha aiseee.....
Kwanza bora hata huyo mume wa mtu anae kupenda kwa dhati kuliko single kaka atakae kupanga kama gari bovu.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee..