Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Ni vizuri tujuzane kwa waliofuatilia vyema suala la Ulimboka na mgomo wa madaktari. Je, serikali ilishawahi kuwafungulia mashitaka kwa mgomo usio halali na/au kwa vifo vya wagonjwa walivyosababisha?

Habari pekee niliyopata kuhusu sakata hilo ni Dk. Ulimboka kukutwa Mabwepande akiwa hoi. Sasa hiyo si hatua ya kiserikali kuadhibu mtu; ni ya kimafia. Na kweli baadaye jeshi la polisi liliendesha msako wa aliyemtesa Ulimboka hadi akapatikana Mkenya aliyeenda "kutubu" kwa Gwajima. Sakata likaishia hapo. Suala la uhalali wa mgomo na vifo vya wagonjwa halikuguswa, right?
Hivyo hatuwezi acha kusema kwamba mgomo ulisababisha maisha ya watu wasio na hatia kusitishwa.
 
Wakati John kened. Akipewa kutawala Marekani aliwahi kusema .." Nchi ikiwa na wahuni haiwezi kupiga. Hatua..."

Mleta mada nadhani in mbumbumbu wa Lumumba kati ya kashifa kubwa za ccm in kuendesha nchi nzima kwa miaka 53 wanafunzi wanakaa chini

Kati ya wanafunzi 10 wanaimaliza kidato cha NNE na sits hawawezi kushindana na Mtoto wa Japan wa darasa LA Tatu

Kati ya nchi 10 zilizo na utoaji duni wa Tiba duniani Tanzania ya imo

Unakuja na propaganda zako za darasa LA PESH nenda kadanganye ufukweni mwa bahari ya Hindi.

Serikali makini inawanyanyasa watumishi kwa kuwang'oa kucha huku ikiacha kuwaamini Madaktari na kumwamini mganga wa kienyeji wa Loliondo?

Jitafakari
mkuu babu wa loliondo alijengewa barabra hadi kwake ndani ya week........
ndo shida ya kuwa na viongoz(ccm)wanaoamini ktk ushirikina..
 
we gebwe kweli elimu ya kuunga unga ndio lakini umeona alivyosomea? wewe unayo hata hiyo ys kuunga unga? huyo ni msomi tosha usituletee ujinga wako hapa
 
muuaji kajitaja kule ni waziri wa serikali ya Magufuri, ndugu Hamis KIngwangala, kwa hiyo kama ni kutumbua majipu muanze na hamis then Mwigulu maana wote hao walikuwa wagomaji na waendesha migomo sana uwakishirikiana na makonda, dendegu, MAKALA, kwa hiyo mwandishi hapa huna hoja tafuta ingine
 
imageuploadedbyjamiiforums1457862171-907480-jpg.329396
imageuploadedbyjamiiforums1457862005-023240-jpg.329393
imageuploadedbyjamiiforums1457862054-549935-jpg.329395
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Hivi umeshindwa kuandika kwa herufi ndogo? Yaani uzi mzima unaonekana kama ndio kichwa cha habari au tangazo fulani. Infact hauvutii kuusoma! Mimi nimeona tu maandishi nikiaacha!
 
Hivi kwani kutokuwa na akili ni lazima?
Maana wengine kukosa akili ni mateso makubwa sana.
 
Uzi wako umekaa kama TANGAZO,sijaelewa lengo lako ni nini?au ndio kutumbua kunaendelea?
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO
Ukweli ni kwamba, mgomo huu uliongozwa na Dr. Ulimboka na Dr. Kigwangala.

Kigwangala amesema yeye mwenyewe facebook

Hamisi Kigwangalla

Ndg. Dkt. Mashinji is a friend, brother and colleague. Hakuwahi kutuokoa mimi na Dkt. Ulimboka na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na mimi na Dkt. Ulimboka.

Kiukweli, ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri (tumesoma naye MBA chuo kimoja)
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Kigwangalla atupa la moyoni kuhusu Katibu Mkuu wa CHADEMA Vincent Mashinji
 
Inaonekana mmetumwa.. Na hiyo kazi mnaifanya kwa ufanisi mkubwa...
Hakuna hoja hapo maneno mengi hakuna point
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!

Mbona unatokwa na povu na mambo ya jirani, sidhani kama mambo ya CDM yanakuhusu, au wewe ulitaka hiyo nafasi?
 
Uandishi kwa herufi kubwa unaboa sana kusoma
 
Safi sana kama alishiriki Mgomo anzeni Na huyu hapa
Anawatibu hao unaodai walisababisha wakafa _;vinginevyo Mnajidhalilisha sasa
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Kwani Akina Kawawa Walikuwa Na ELIMU Kubwa Kiasi Hicho!!? Mbona Walishika Mamlaka Makubwa Ya Nchi!!?? Itakuwa Huyo Kushika Ukatibu Mkuu Wa Chama!!!?? Hivi Katibu Mkuu Wa CCM CV Yake Ikoje Vile!!!!??
 
nchi nzima, wanaCCM wanaungaunga na kuokoteza sababu za kumshambulia huyu Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna cha maana yaani wanaokotaokota. Kashakuwa Katibu Mkuu. Hamtabadilisha uteuzi na uchaguzi wake. Mliowatarajia hawajapata. Poleni sana,interahamwe.
 
madaktari waliogoma walikuwemo washabiki wa vyama vyote (CCM, CHADEMA, CUF, ACT nk) na wasiowashabiki wa vyama. Pia wale ni wasomi tunaamini wana reasoning capacity nzuri so hakuna aliyegoma at a gun point. Waliyoyagomea pia yalikuwa kwa maslahi ya umma (mazingira bora ya kazi eg upatikanaji wa vifaa tiba na madawa). Tupo raia baadhi tuliwaelewa madaktari wale. Kama alikuwa kiongozi wa mgomo, hakujichagua bali alichaguliwa na wasomi wenzake.
 
Back
Top Bottom