mbogelakin
Member
- Jan 21, 2016
- 19
- 15
Ulikua unabeep amekupigia sasa.... Huku vyuon kuna mambo ya ajabu Sana ....hawa wanawake Cjui nani aliwaloga
Pls chunguza kama haya hiyo mtoto ni wakoTafuta pesa, Lea mtoto wako, tafuta mke mwingine.
Mkuu sijakuelewaYou are a very lucky son a gun
Mkuu umri nao umeshakwenda shule tena? Bt ni wazo zurii mkuutafuta pesa, reseat form four, kasome 5 na 6 evening programme, faulu, jiandikishe chuo kikuu huria soma degree, tafuta hela tena ,tafuta mke material oa
Unabahati ya mtende kwani ungejiingiza kwenye ndoa angekusumbua hadi ungekufa kwa pressure wakati umri wako ni mdogo. Dunia ni pana pengine kuna mke mwema anakungojea.Mkuu sijakuelewa