Recent content by mbeyaboyfrancy

  1. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mobikora, lakini lugha arabik, hamna kugandaganda

    Nimeikubali sana
  2. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

    Tafuta halotel lain ya chuo ndo utaenyoj vizur
  3. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Hii cable ina kazi gani?

    Dhaa online unanunuaje sasa isije ikawa kama kupatana.com
  4. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka: Tecno L8 haionyeshi icon ya caller phone

    Hata ukibonyeza hapo kwenye menu kuu haukion hiko kitu au
  5. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania KYELA - Operesheni UKUTA yapokelewa kwa mikono miwili, yasubiriwa kwa hamu

    Katika mikoa yote tanzania uwa nawakubali watu wa mkoa wangu kuwa na umoja katika mambo ya msingi nitakuwa frontline kwenye UKUTA
  6. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Laudit Mavugo aanza "kurudisha" hela ya usajili Simba S.C.

    Unacheza na timu ya kumi na moja kwenye ligi halafu unajisifia sasa si bora mngewaalika ndanda fc
  7. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku

    Njoo njombe nikusindikize kwa mtaalamu baada ya hapo we mwenyewe utanitafuta kuja kunipa shukran Onyo vsiwe muoga
  8. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania UKAWA majiji yetu yamewashinda?

    Wewe endelea kula panzi huko mtera na lusinde wako majiji yetu tuachie
  9. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Mkesha Wa Mwenge Sengerema ,Uzinzi ulevi kwa wanafunzi watawala

    Lete picha maana umedandia treni kwa mbele
  10. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mume wake kutoshiriki UKUTA

    Si upuuzi wenu wanaccm siasa za kijinga
  11. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania "Hapa kazi tu" wakati serikali imeshindwa kuwapa kazi mamilioni ya vijana

    We mgonjwa kweli hivi ulishawai kuona makampuni wakilalamika kuwa wafanyakazi wao wameacha kufanya uzalishaji wamekimbilia kwenye mikutano,mfano tu viwananda vingi uwa vinakuwa na shift saa 12 asubuhi hadi saa 8 mchana,wanatoka wanaingia wengine hadi saa 4 usiku wanatoka wanaingia wengine hadi...
  12. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Lissu anamaanisha nini kuhusu "udikteta"

    Mzee vijana awapelekwi kwenye maandamano bali vijana wote tumechoka kupelekwapelekwa na maccm kwa hiyo sept 1 tutatoka wenyewe majumbani kwetu kwenda kufanya maandamano ya amani ya kupinga udikteta uchwara
  13. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mkuu hivi hizi channel naweza zisave niwe nazipata kwa urahisi,kama inawezekana nasave vipi
  14. mbeyaboyfrancy

    JamiiForums Tanzania Vigogo Somba SC Washikiliwa Polisi

    Somba fc ya wapi au ile ya moshi
Back
Top Bottom