Hii cable ina kazi gani?

Hii cable ina kazi gani?

Hiyo cable utumika kuunganisha USB ya pili na kucharge simu nyingine, mi nnayo cmu yangu ndogo ikiishiwa charge huwa naichaji kwa kutumia Tecno L6. Kwa ufupi unaweza kutumia hiyo tecno km powerbank
 
kiukweli hizi Cmu za Tecno L6 na L8 zimependelewa uwezo wa battery mfano L6 ina 4500mAh na L8 ina kitu km 5600mAh hv
 
Kaka sio kama atupendi sony na masamsung tatizo pesa
tatizo ni wafanyabiashara wetu angalia hii simu
Xiaomi Redmi 3 - Full phone specifications
nzuri kushinda hata j8 na bei yake ni around dola 100 tu,
pia ipo version ya dola 92 inatoka mwezi wa 8 ambayo nayo ni nzuri kuliko hata simu za laki 4 za bongo ikiwemo hao tecno.

kama una mtu unamfahamu kenya narecomend sana kununua simu za hawa jamaa, hakuna sababu ya kulalamika huna hela wakati unapata kilicho bora kama hiko
 
Kweli kabisa wameklemisha masimu yakuletea sokoni
 
Kupatana hahhh ila walianzanza kama kupatana.wakajiongezea maujuzi basi ikawa poa
 
Back
Top Bottom