Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kiraza, Aug 6, 2016.

 1. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Habari wanajamvi, mimi ni Mtanzania niliekosa kupata Elimu, nimeishia darasa la sita, kutokana na Ugumu wa maisha na kufiwa na mlezi, mwaka 2004. Kwa sasa nina umri wa miaka 25, ila nasumbuka mno na kazi nzuri itakayoweza kunipa walao hata 10000 au 15000 per day ili niweze kuibalance pesa hiyo niweze kufanya maisha, kwa alie na ujuzi juu ya hilo naomba aniPM, kazi yoyote nitafanya iri mradi iwe halali katika sheria za nchi. Asili yangu ni Mkoa wa Iringa, hapa dar naishi peke yangu.
  Natanguliza shukrani.
  Mbarikiwe.
   
 2. QALLI MIZOH

  QALLI MIZOH JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2016
  Joined: Mar 19, 2014
  Messages: 2,088
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hivi kuna kazi spesho ya kukupa 10000 au 15000 per day,? kila kitu ni maelewano mkuu.

  Kuna kazi nyingine unaweza kupata zaidi ya hiyo au pungufu ya hiyo, anyway ngoja waje wengine.
   
 3. R

  Rofa Member

  #3
  Aug 6, 2016
  Joined: Sep 19, 2015
  Messages: 79
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 40
  Wabena ni watu hatari sana,wakinya kaa mbali nao kabisa,badiri kabila na kazi utapata
   
 4. y-n

  y-n JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2016
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,812
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Bodaboda.
  Inaweza ikazidi au ikapungua kulingana na hali halisi ya siku husika.
   
 5. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 19,525
  Likes Received: 32,248
  Trophy Points: 280
  kuna kazi za site
  kujenga nk kwa siku 15
   
 6. sumu-ya-panya

  sumu-ya-panya JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2016
  Joined: Aug 6, 2016
  Messages: 404
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  15000x30=450,000 duh! we nenda NMB,CRDB, ana mabenk mengine unasifa za kua bank teller
   
 7. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Asante kwa wazo lako kaka
   
 8. Bigbootylover

  Bigbootylover JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2016
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 2,419
  Likes Received: 1,306
  Trophy Points: 280
  Mtafute Mwandulami IringaIringa huko
   
 9. m

  mnaz43 New Member

  #9
  Aug 8, 2016
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Tafuta kijiwe wanachofyatua matofali ya kuuza kaa hapo upige Kazi unaweza ondoka hata 20000 kwa Siku mkuu
   
 10. Baraka sheni

  Baraka sheni JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 414
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Kwani unamtaji? Kama mtaji unao unakiasi gn? Natak nikupe wazo
   
 11. mo effect

  mo effect JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2016
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 541
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 180
  Jiji la dar ni chafu sana mradi wa kuokota takataka utakufaa sana na unaweza kuingiza pesa zaidi ya hiyo
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,317
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  Wahi Dodoma fursa ya kuosha magari
   
 13. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Utaanza lini mradi huu ndugu yangu

  Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
   
 14. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2016
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,586
  Likes Received: 2,360
  Trophy Points: 280
  15000 hiyo inawezekana Kama ukimpata mtu anayemiliki bajaji au mshikaji unaweza ingiza hiyo pesa kwa sababu tajiri unampelekea 15000 kwa siku hapa daresalaam unaweza ukafikisha zaidi ya hiyo tena ukipiga ile mida ya asubuhi na jioni.
   
 15. richard kaswalala

  richard kaswalala Senior Member

  #15
  Aug 8, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 102
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ujasema unafani gani.maana huwezi kupanga hela wakati huna fani yeyote.
   
 16. Mr.Junior

  Mr.Junior JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2016
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 8,855
  Likes Received: 4,442
  Trophy Points: 280
  Wabena hawana sifa hiyo ndugu yangu, Wabena ni watu safi sana.....waaminifu, wachapa kazi na hawana tamaa za kijinga.
   
 17. Mr.Junior

  Mr.Junior JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2016
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 8,855
  Likes Received: 4,442
  Trophy Points: 280
  Amesema kaishia darasa la sita.
   
 18. mbeyaboyfrancy

  mbeyaboyfrancy JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2016
  Joined: Mar 12, 2015
  Messages: 257
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Njoo njombe nikusindikize kwa mtaalamu baada ya hapo we mwenyewe utanitafuta kuja kunipa shukran Onyo vsiwe muoga
   
 19. k

  kerai Senior Member

  #19
  Aug 8, 2016
  Joined: Oct 28, 2013
  Messages: 189
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Njoo tuuze barafu tutapiga hela ntafute 0769630209
   
 20. Echililo

  Echililo JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2016
  Joined: Apr 19, 2016
  Messages: 341
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  We jamaa nimekupenda bure, inaoneka una roho ya huruma sana, Mungu awakutanishe na muelewane na biashara iwaendee vizuri kama atakubali kuungana nawe katika hiyo biashara
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...