Recent content by mbesa1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari aina ya Daihatsu storia mil 3.5

    Vibali vikoje? Weka picha za vibali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtemvu ana nia gani kupeleka watanzania Uarabuni

    Huyu Mtemvu sioni anachokifanya Temeke zaidi ya biashara ya wadada ndio akili yake uwezo wa kufikiri umeishia hapo. Anafikiri atachaguliwa kwa ukuhadi anaofanya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Membe Aitwa "Rais" Bungeni

    Hana lolote huyu membe, bajeti yake ni kusafiri coz akijisikia kwenda kujisaidia Marekani anaenda.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Vodacom wanaumwa!!

    Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

    To my side nimefurahishwa sana coz kutumia milioni 96 siku moja tu kwa ajili ya harusi ikiwa kuna ndugu zetu wengi maisha yao ni mabovu na fedha zetu wenyewe walipakodi. Hii safi sana na iwe fundisho kwa wenginge.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Nyie wakongwe, mimi nilimaliza form six 2007 wakati wa mwachombe na mwl. Materu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha ubongo

    Tupe majibu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha ubongo

    Tupe jibu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari

    Ipo Balloon GX 90 haina tatizo lolote ipo Dodoma call me on 0754 654410 to make business. Vibali vyote vipo safi na leo ilikwenda Iringa na kurudi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Canter Tipper Inauzwa Dar

    Kula M 7.5 mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa 2m

    Kwa bei hiyo labda papuchi utapata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Mwananchi limepoteza mwelekeo kabisa kwa kua wafanyakazi na wahariri mahili waliacha kazi kutokana na wakenya kushindwa kuwalipa mishahara. Waandishi wengi waliobaki gazeti la Mwananchi hawana uzoefu pamoja na field wengi kwa kupenda cheap labour na hayo ndio madhara yake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa

    Picha zinagoma nitumie namba yako nikutumie kwa wasap kama upo serious.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa

    Gari aina ya balloon GX 90 inauzwa sh. M3 ipo Dodoma mjini haina tatizo lolote. Call 0754 654410
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa

    Picha zinagoma kaka, ni PM namba yako nikutumie kwa whassap
Back
Top Bottom