Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dada jane, Feb 16, 2012.

 1. d

  dada jane JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wanalugalo sec mpo? Nakumbuka enzi hizo za akina Jagafus, akina Chips nk. Ebu tukumbukane jamani japo wengi ni RIP kama Ester Makingi. Hebu kama mpo hebu jitokezeni basi.
   
 2. E

  Elai Senior Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingekuwa vizuri kama ungeweka range ya miaka husika. Historia na matukio yanatofautiana miaka hadi miaka.
   
 3. d

  dada jane JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wale waliosoma miaka ya 80 mpk 90 kwani wewe ulisoma mwaka gani?
   
 4. E

  Elai Senior Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi nilisoma 1990's
   
 5. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mimi nilisoma 1985
   
 6. d

  dada jane JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kumbe bado tupo. Mi nimemaliza mwaka 1986. Nilitaka kujua kama nani yuko wapi. Kumbe na sisi wamo.
   
 7. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mie wa 90's
   
 8. d

  dada jane JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabila1 uko wapi na unafanya nini kwa sasa. Naomba tufahamiane please. Na kwa wengine waliosoma lugalo. Kuna mwl mmoja alikuwa anaitwa mangula aka cocroach unamkumbuka?
   
 9. m

  msapinungu JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2014
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 484
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mimi nimemaliza 1986.Na hiyo jagafus nawakumbukeni sana,yaani Jane,Grace na Flora.Enzi zenu mlikuwa kiboko ya Mangula a.k.a cocroach.
   
 10. d

  dada jane JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2014
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha. Uko wapi ndugu yangu. Cocroach sasa hivi yuko Kyela ni katibu wa cwt.
   
 11. m

  mbesa1 Member

  #11
  May 23, 2014
  Joined: Apr 11, 2014
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie wakongwe, mimi nilimaliza form six 2007 wakati wa mwachombe na mwl. Materu.
   
 12. God Baba

  God Baba JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2014
  Joined: Jul 23, 2013
  Messages: 387
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Mwalimu Materu,Lulandala,Chaula,moshiro,Ugulumu,kisonga,Mtavangu,Hongoli,Ambindwile.Msasimela,Mwasamila,Mama Lambo,MamaMwaisaka,Mwakasonda e.t.c! Wanafunzi kama Asangalwisie Henry,Frank Leonad(tyson),Iman Kasuga,Nasoro Mkwanda,Wito D'zombe,Nyambilila Amour,Juliana Mdemu,Lilian Mkulu,Merkioly Katunzi,Putila Lupogo,Aman Sindato,Edgar Kifyoga,Henry Challu,Exaud Massawe na wengine weeeengi! Jamani tutafutane popote mlipo! Hiyo ni Lugalo 1988-1991!
   
 13. m

  msapinungu JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2014
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 484
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nipo Dar.Wewe upo wapi? Wenzetu akina Victor Tagalile na Bithon Sanga walisha tutangulia mbele za haki, wastarehe kwa amani.
   
 14. m

  msapinungu JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2014
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 484
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  1983-1986 nawakumbuka wafuatao, Erasto Chipps, Faustine Kigava, Nulala Luvanga, Kalinga wa Tcra, Sixtus Kanyama,Yohana Kifaranja, Mary Mdegela huyu ndie Mrs Cocroah Mangula, Suzy Magani na wengineo naomba mameti ongezeni orodha tafadhali na ikiwezekana tuunde Saccos yetu
   
 15. c

  chumakipate Member

  #15
  May 24, 2014
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmenikumbusha mbali sana nilimaliza hapo 1987 na Aden Nzali,Amani Mgonja,David Luvinga,Hadhrat Hussein,Harold Kakuyu(RIP my best friend),Brian Samuel,Graceana Mgeni,Ulanga Jumanne,Sophia Karuma,Emmanuela Lusinde,Audrey Seme(RIP my sister),Brutus Hyera(RIP my best Bruto),Ramadhani Ali Ngollo,Michael Saka,Uddy Chusi,Obeid Mgina,Abdallah Said,Yusuph Kalinga,Nawakumbuka walimu kama Ambindwile,Mangula,Materu,Mihayo,Loningo,Nade,Mtinda,Mr Joker nk

  Hi everyone wherever you are my brethren and my sisthren.
   
 16. m

  msapinungu JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2014
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 484
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Obeid Mgina yupo Mbezi mwisho Dar es salaam. Emmanuella Lusinde yupo Mtwara.Pamoja sana wakuu.
  Cc; Gaudence Mbigi upoo!!
   
 17. d

  dada jane JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2014
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Da nimekumbuka mbali sana ndugu yangu. Mungu ametunusuru. Basi tulio hai na tutende mema kwa jamii inayotuzunguka. Tusiwe part of ufisadi. Binafsi bado nina mawasiliano na herieth,grace tendega, monika, vangamela et el
   
 18. God Baba

  God Baba JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2014
  Joined: Jul 23, 2013
  Messages: 387
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Big up dada Jane kama unakemea ufisadi! You must be like GRACE TENDEGA!(REAL COMMANDER). GOD BLESS YOU!
   
 19. d

  dada jane JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2014
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Really nakemea toka rohoni. Japo kwa Tanzania ya leo hatakiwi. Ukiwa against ufisadi basi ujue wewe hata kaa upande daraja, cheo wakipenda hata mshahara na wasingizia masa Epicor mara mfumo. Mungu atusaidie hii nchi upepo huu upite vinginevyo vizazi vijavyo watachinjana kama Somalia na other like.
   
Loading...