KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 546
swaliiiiiiiii
kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu......
Je maiti ni nani