wewe ndio unawaamulia watanzania? ambao previously umewadescribe hivi ''There are so many ignorant and uninformed Tanzanians who will actually vote for him!!?? ''
Afanalek! Hii nchi ngumu sana basi tu sijui tufanyeje?
wewe ndio unawaamulia watanzania? ambao previously umewadescribe hivi ''There are so many ignorant and uninformed Tanzanians who will actually vote for him!!?? ''
mkuu kumbuka kuna ban
urais wa nini au wa mtwara kwa maana rais wa arumeru nasharki tayar ni nassari sa mbeya kijukuu cha mtume sugu.......! ndoto za mchana noumaaa akiamka posho laki tatu anasaini
Membe ana alama kuu tatu za mnafiki.
hahahaha naomba zitaje tuzijue
Hizi hapa kwa faida ya Watanganyika wote:
1. Akiahidi hatekelezi
2. Akiaminiwa hufanya hiyana
3. Husema asichokiamini
Watu wakusini wameungna bana mtutula na mbunge kutoka kusini so he was showing sumluv kwake najaua tuuu
lila na fila havitangamani?
Ni kweli alikuwa amekosea na hakumuita Membe kama Rais bali alisema hotuba ya Rais badala ya Hotuba ya Waziri
Mkuu skype tuwekee hapa tuzijue tusije kosea,maana miaka kumi ndiyo hiyo ishaenda kusubuli tena a whole decade tutachelewa sana.Membe ana alama kuu tatu za mnafiki.