Recent content by MBEKOMIZE

  1. M

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Nami nimeona nina video nimerekodi kabisaaa du TBc CCM DU mtangazaji huyo afungiwe kabisaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Mimi napendekeza livingstone lusinde agombee URAIS wa tanzania kupitia ccm!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

    We Faurie mbona kama mjinga mjinga vile maana unashindwa kuelewa hata mambo madogo madogo! soma uelewe siyo kuleta UCCM wako hapa!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    " Katiba hii isipopitishwa mimi naingia msituni" by kaptain John Komba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi IFM wamtaka Lowassa urais

    wajinga sana haoooooooo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Kama Rais Mugabe ameanguka watu wakarusha picha zake itakuwa kwa Wassira kupishana vifungo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa mtandaoni

    Jamani kuwa makini kuna matapeli wana mtandao na wazungu wanatapeli pesa wanatumia namba za Kenya na Tanzania. Nimenusurika kutapeliwa na matapeli hawa: walitumia hizo namba 0785 648 220 Hiyo hapo ni sehemu ya sms yake na baadae akanipigia simu kwamba yuko mpakani Namanga; Hi ? Thank you...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wassira: Hakuna nchi duniani iliyowafanya wananchi wake wote kuwa matajiri

    Watu watafanya wapi kazi bila serikali kutengeneza ajira kwa raia wake? Wasira kweli amezeeka aende bunda hukooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siyo ajabu kwa Kinana kumwandikia barua Mwigulu Nchemba

    Huyo jamaa huwa wanamhusisha na pembe za ndovu (Uwindaji wa Tembo sijui ni kweli ama?)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

    POSTA MTAA WA SAMORA, JMALL BUILDING KUNA MAKAMPUNI YA AINA HIYO ZAIDI YA 20 KATIKA JENGO HILO MOJA. kWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0756756122
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nioe m/mke wa nchi gani?

    Somalia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

    WE MKUU HAYO TUNAITA MAHABA NIUUWE NIGALAGAZE NA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALYSIA, MIMI NAVAA MPAKA SHANGA ZA GIRLFRIEND WANGU SEMBUSE NGUO! yAANI MTOTO KAPOENDA KWELIKWELI
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

    Hilo ni jambo la kawida sana maana hata bible i9nasema kuwa mwanaume na mke wataungana kuwa mwili mmoja ama kitu kimoja. sasa kama mmekubali kuwa mwili mmoja itakuwaje msichangie mswaki??????????????????
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muyunga general supplies, slp 18137.dar es salaam

    TUNATAFUTA TENDA MBALIMBALI KATIKA MAKAMPUNI, NGO,MASHULE NA TAASISI MBALIMBALI NA KUSSUPLY VITU VYA AINA MBALIMBALI KAMA STATIONARY AND OFFICE EQUIPMENTS, T.SHIRT,ID PRINTING AND BUSINESS CARD, TOILET PAPERS, PAMPERS N.K. KARIBU WOTE TUFANYE KAZI Kwa maelezo zaidi wasiliana na Marketing and...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muyunga general supplies, slp 18137.dar es salaam

    Tunatafuta tenda mbalimbali katika makampuni, ngo,mashule na taasisi mbalimbali na kussuply vitu vya aina mbalimbali kama stationary and office equipments, t.shirt,id printing and business card, toilet papers, pampers n.k. Karibu wote tufanye kazi
Back
Top Bottom