Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

Nadhani ni njia mojawapo ya kujisogeza kwako na kuonyesha makamatano - sidhani kama ni kitu cha kuhofia
 
jamaaan! ni raha asikwambie mtu! safi sana hiyo..!
my mume si mnene ila anjikuta baadhi ya nguo anachukua over size kwake ilimradi nizivae na mimi, mwanzo ilimpashida lakn saiz kazoea hadi anaona raha...!
wkends anakuchagulia moja yake nyingine yako..! raha sana

b proud Bulldog
 
WE MKUU HAYO TUNAITA MAHABA NIUUWE NIGALAGAZE NA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALYSIA, MIMI NAVAA MPAKA SHANGA ZA GIRLFRIEND WANGU SEMBUSE NGUO! yAANI MTOTO KAPOENDA KWELIKWELI
 
Back
Top Bottom