wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
kawaida tu...
maana sio lazma huyo kuwa rais.
maana sio lazma huyo kuwa rais.
Liache hilo zee gonjwa fisadi likapumzike Monduli
Maana kusema ukweli mpaka hivi sasa hatuoni mtu yeyote wala dalili yeyote kama ilivyokua wakati kikwete akitarajiwa kuingia na jinsi mambo yalivyo tight,sijui nani atafaa?
kama unajua tafadhali niambie
Wana Jamii Forum naomba niwaulize na mnijibu kiufasaha kuna kitu mpaka sasa sikielewi kuhusu nani anayefaa hasa kuwa rais wa nchi hii mwakani kwani cabinet yote ya CCM kwa sasa inaonekana kuwa na dosari na hata ukikuta asiye na dosari basi uwezo wake ni mdogo najua tunawafahamu wanaodhaniwa sasa kama wasomi ambao ndio sisi sote nani atatufaa ki ukweli.