Kama ni kabla ya mwaka 2010 , paper ya form 2 ilikua inatungwa kikanda na kusahihishwa kikanda. Kanda ya Kati paper ilikua inavuja hatari, Yan kwa shule za mjin pale kama Dom sec,merriwa, viwandani, Jamhur, hijra, central,kndege, nk sidhan kama Kuna mwanafunzi aliyekua anakosa paper hata kama ni...