Kipi nisome kati ya Bed PPM, Bed ADM na Bed ADEC? A teacher already

Magodi

New Member
May 18, 2023
4
2
Naombeni ushauri wa fursa za kielimu kulingana na maendeleo ya elimu ya sasa kipi nisomee shahada kati ya degree hizo tatu hapo juu?

1. Bachelor of education in adult education and community development (Bed ADEC)

2. Bachelor of education in administration and management (Bed ADM)

3. Bachelor degree in policy, planning and management (Bed PPM).

Ushauri tu wadau hasa waliosoma hiz kozi, ngependa pia kozi itakayokuwa rahisi zaidi
 
Nmetaman nkushauri uachane na hizi za ualimu lkn basi ntakula ban
 
kwanini niachane na koz za ualim ikiwa mm tayr n mwalimu?
Hofu yake ilikuwa kwenye ugumu wa ajira Jambo ambalo kwa wale walioenda education kufata ajira na Mambo yameenda ndivyo sivyo imekua Kama wamepoteza mda tu
 
kwanini niachane na koz za ualim ikiwa mm tayr n mwalimu?
Umeajiriwa serikalini? Kama umeajiriwa, Fanya kozi tofauti mfano health management, accountancy, Business administration, procurement, physical education. Hizo kozi zitafanya uhamishwe idara ila bachelor ya ualim haikuongezei hata mshahara. Fanya kozi tofauti ila bachelor ya ualim Bora hiyo ada upeleke Kwa biashara
 
Naombeni ushauri wa fursa za kielimu kulingana na maendeleo ya elimu ya sasa kipi nisomee shahada kati ya degree hizo tatu hapo juu?

1. Bachelor of education in adult education and community development (Bed ADEC)

2. Bachelor of education in administration and management (Bed ADM)

3. Bachelor degree in policy, planning and management (Bed PPM).

Ushauri tu wadau hasa waliosoma hiz kozi, ngependa pia kozi itakayokuwa rahisi zaidi
Soma BED ADM Ina nafac kubwa
 
HABARI WADAU,
MTU ALIYEHITIMU INSTITUTE OF ADULT EDUCATION NGAZI YA DIPLOMA ANAWEZA KUJIUNGA NA SHAHADA KATIKA VYUO VYA UDOM, SAUT, UDSM, RUCU n.k?
 
Back
Top Bottom