Form five selection

Form five selection

Zee Real

Member
Joined
May 2, 2021
Posts
57
Reaction score
66
Habari za wakati huu vijana wenzangu, wakubwa zangu shikamoo.

Naomba kujuzwa kama selection za
kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2022/2023, zimeshatoka?

Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anijuze tafadhali.

Natanguliza shukrani.
 
Habari za wakati huu vijana wenzangu,wakubwa zangu shikamoo.

Naomba kujuzwa kama selection za
kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2022/2023, zimeshatoka??.

Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anijuze tafadhali.

Natanguliza shukrani.
bado, hii ni very big event, zikitoka tu utajua. TULIA kama Ackson!
 
Hadi Sasa hakuna Taarifa yeyote kuhusu siki ambayo Form Five Selection zitatoka ila mategemeo ni mwisho wa mwezi huu. As long as unaufaulu mzuri kidato cha nne, hauna haja ya kupata mtetemo utapangwa kwenye shule nzuri tuu. Kama huna uhakika na ufaulu wako soma >>TAMISEMI Form Five Selection 2023/2024 - Jinsi Ya Online wameelezea vizuri namna ya izi selection zinavyo fanyika.
 
[emoji438]MCHANGANUO WA SELECTION FORM FIVE AND COLLEGE'S MWAKA 2023 [emoji406]
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
[emoji736]Kutokana na ufaulu wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2022 kuongezeka kwa 2.9% zaidi ya ufaulu wa mwaka 2021 kumeifanya selikari kuja na mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mwanafunzi wa ufaulu wa juu anapewa kipaumbele




[emoji736]TAMISEMI imeweza kupanga selection hizo kwa makundi tofautitofauti




UFUATAO NI MCHANGANUO WA JINSI TAMISEMI ILIVOPANGA SELECTIONI HIZO


[emoji831]Tukianza na

1. Masomo ya Sayansi
[emoji736]PCB, na PCM [emoji117]wakiume tutachukua kuazia daraja la I point ya 7 -15
[emoji117] wakike daraja la I point ya 7-17
[emoji736]CBG na PGM
[emoji117]Wakiume tutachukua mpaka daraja la II point ya 21
[emoji117]Wakike mpaka daraja III ya 22

2. Masomo ya Biashara

[emoji736]EGM na EC
[emoji117]Wakiume mpaka daraja II ya 21
[emoji117]Wakike mpaka daraja III ya 22

[emoji736] HGE na CBA
[emoji117] wakiume mpaka daraja II ya 21
[emoji117]wakike mpaka daraja III ya 22

3. Masomo ya sanaa

[emoji736]HGL,HGK, na HKL
[emoji117]wakiume mpaka daraja II ya 21
[emoji117]Wakike mpaka daraja III ya 23

4. Masomo ya Lugha

[emoji736]KLF
[emoji117] wakiume mpaka daraja II ya 21
[emoji117]wakike mpaka daraja III ya 23


[emoji406]VYUO /COLLEGE'S

1. Vyuo vya sayansi (Afya na Ufundi)
[emoji117]Wakiume mpaka daraja la III point ya 23
[emoji117]Wakike mpaka daraja IIIya 25
[emoji736]NB: Mwanafunzi wa sayansi watachukuliwa endapo wana D nne za masomo ya sayansi ikiwemo na Hesabu

2. Vyuo vya kati na biashara
[emoji117]Wakiume daraja la III point ya 25
[emoji117]Wakike mpaka daraja la IV point ya 26.




[emoji359]NB:
1. Hatutachukua [emoji670]wakiume yeyote mwenye daraja la III kujinga na kidato cha tano
[emoji670]Wakike yeyote mwenye daraja la III point ya 24-- kujiunga na kidati cha tano

2. Hatutachukua [emoji670]wakiume yeyote mwenye daraja la IV kujiunga na vyuo vyovyote vya selikari





[emoji359]NB: Mchakato wa kutoa selection post bado upo mbioni mtaarifiwa pindi post zitakapotoka



[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
Imetolewa na katibu mkuu wa TAMISEMI
Dodoma
S.L.P , 11524 DAR ES SALAAM
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
 
Serikali Kwa hili imefanya upuuzi, haiwezekani matokeo yalitolewa January, selection wanataka wazitoe mwezi mmoja kabla ya shule kufunguliwa.
 
Back
Top Bottom